Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

Mume wangu amempa mimba mdogo wangu

nashukuru similiki bunduki, ningekuja kukusadia kazi rahisi hiyo

piga chini wote

watakavyoishi ni juu yao, na binafsi nakusifu kwa moyo wa uvumilivu ulonao mpaka sasa, wengi wetu hapa saa hii tungekuwa Segerea kwa multiple murder
 
Habari za asubuhi wanajamvi,

Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa muda sasa.

Nimeolewa na Nina miaka miwili kwenye ndoa lakn sikuwa tayari kuzaa kwakuwa tulikubaliana mpaka nimalizie masomo yangu ya masters ambayo natarajia kumaliza mwaka huu.

Tumekuwa tunaishi vizuri tu na mume wangu nikimtii na kuwajibika kwa majukumu yangu yote kama mke kwa mumewe pamoja kuwa Ninafanya kazi na kusoma pia.

Mimi ni muajiriwa lkn mume wangu wangu ni mfanyabiashara kariakoo.

Nina mdogo wangu ambaye aligraduate mwaka jana akaomba akae kwangu wakati anatafuta kazi, sikuona shida nikamkubalia.

Tangu aje tumekuwa tukiishi vizuri tena kwa amani.

Kama Dada nilijitahidi kumtengea mdogo wangu bajeti yake toka kwenye mshahara wangu kwa kila mwenzi iliaweze kumudu kufuatilia mambo yake kirahisi.

Baada yakuwa nae kwa miaezi mitano nikaanza kuona mabadiriko kadhaa.
Akawa karibu na mume wangu sana, sikujali nikajua ni ushemeji tu.

Siku moja nilirudi nyumbani mapema sikukuta mtu.

Nikaendelea na maandalizi ya chakula cha jioni, nikiwa jikoni nikasikia sauti ya mume wangu na mdogo wangu wanabishana.

Niliposogea dirishani nisikilize vizuri huku nikichungulia nje nikaona dogo analia na mume wangu anambembeleza huku akimfuta machozi.

Nikatulia nione nini kinaendelea, nikasikia mume wangu anamwambia itabidi tuitoe maana Dada yako akijua wote tutakuwa nawakati mgumu..

Nikachukua simu yangu nikawa nawarekodi, baada ya muda wakaingia ndani nami nikajifanya sijui chchte.

Sikuwauliza chchte nikijipa muda wa kufanya utafiti zaidi.

Baada ya wiki, mdogo wangu akaniambia kuwa ana shida na Mimi.

Nikamsikiliza akaniambia kuwa ana mimba..

Sikuhamaki wala kuonyesha kama najua chchte, nilimuulize nani muhusika akajibu hajui.

Nikamwambia kama hujui sina namna ya kukusaidia siku ukijua utaniambia nijue jinsi ya kukusaidia.

Akaanza kulia na kunipigia magoti huku akisema nisamehe Dada, nikamwambia wala hujanikosea.

Nikamwambia wewe ni mtu mzima umeamua kuzaa kunashida gani?

Baba wa mtoto naamini yupo kwahiyo sikuhukumu.

Akasema, kuna jambo nataka nikwambie..
Niikamwambie aniambie..
Akasema lakini naomba unisamehe, shemeji ndo amenipa mimba.

Kwakweli niliumia sana, nikamuuliza wana muda gani tangu waanze mahusiano akajibu ni miezi minne sikujibu neno, nikaendelea na shughuli zangu.

Mume wangu alikuwa matembezi, aliporudi nikawaita wote wawili, nikamwambie Dogo aseme alichoniambia mbele ya shemeji yake.

Akasema tena ana mimba ya shemeji yake..mume wangu kusikia vile akataka kuwa mkali..

Nikamwambia hana haja ya kufoka, nikanyamaza sikusema wala kulaumu chchte.

Nikaamua kuwaita wazazi wangu na wake pia bila wao kujua,

Walipo kuja nikawambie Mimi ndiye niliyewaita lkn mume wangu na mdogo wangu ndiyo wanachakuwaambia.

Walipoulizwa wanasemaje dogo akaeleza kuwa anamimba ya shemeji yake..

Mume wangu alipoulizwa kwa unyonge sana alikubali. Wazazi wakaniuliza Nina maamuzi gani?
Nikawajibu nimeamua kumuachia mume mdogo wangu.

Wazazi wakanisihi nimsamehe na tuendelea na maisha ya ndoa..na dogo arudi kwa wazazi.

Niliwakatalia nakuwambia kuwa nisingeweza kuvumilia ndoa ya aina Ile..nikamwambia wasijipotezee muda wao kuniambia cha kufanya niliwaita waje wasikie uchafu niliofanyiwa then baada ya hapo mimi ndo nitoe maamuzi
Nilisisitiza maamuzi yangu nikutoendelea na ndoa tena.

Waliniambia nisichukue uamuzi bila kutafakari wakanipa wiki tatu za kufikiria Leo hii ni siku ya nane tangu nipewe muda wa kutafakari..

Niliwaomba niwe mbali na watuhumiwa wangu kipindi cha kutafakari.

Nikawasihisi watuhumiwa wao ndo wanipishe nyumbani kwangu, maana tunapoishi ni kwangu.

Wameondoka na sijui walipo kwenda.

hii
Binafsi sijisikii kuendelea kuishi na huyu mwanaume ingawa kweli tumeshafunga ndoa lkn siwezi kuwa na raha ya ndoa ktk mazingira kama haya.

Najiuliza heshima yangu iko wapi?

Jamii inanionaje?

Na mtoto atayezaliwa ntamuonaje?

Naona dhambi hii ni kubwa sana siwezi kuibeba.

Wadau naomba msaada maamuzi niliyochukua naweza kuwa sahihi? Nisaidie plz.

Naomba plz sihitaji matusi wala mizaha nahitaji ushauri na faraja.

Naamini ktk wingi wamashauri hapakosi hekima.

hii kitu ni ngumu.....BABA ASKOFU mwenyewe kaangukia pua.
 
Oky sawa,ila maamuzi ya kumuachia mume mdogo mtu yatamtesa kuliko,..bora angekua mtu baki, mdogo wako...

cmon ..............mbona mnaichukulia issue ya wake na waume kama tunu kuliko chochote duniani? sasa mume na mdogo washajitoa thamani awabebe wa nini?
 
  • Thanks
Reactions: nao
Tunarudi palepale pa kusema mwanamke akisoma kuna kuwa na shida ivi unaolewa then unaanza kuleta usomi kwenye familia mara ntazaa baadae leo tusifanye nipo siku za hatari nusu ya mwezi ni siku za hatari jumlisha hedhi siku ishirini najua ulikuwa hutumii njia za uzazi wa mpango sbb umesoma wanawake jitambue kama unaona haupo tayari kuwa mama wa familia usitafute hiyo heshima kwenye macho wa watu inhali huwezi kuitumikia naiona hadha aliyopata jamaa mpaka shemeji akamuonea huruma mwisho unasema nyumba ni yako wkt nyie ni wanandoa ungefukuzwa ww ungesema tumejenga wote dada ndoa ni zaidi ya hilo ulilokuwa unaliwaza ila pole kwa kutojitambua
 
cmon ..............mbona mnaichukulia issue ya wake na waume kama tunu kuliko chochote duniani? sasa mume na mdogo washajitoa thamani awabebe wa nini?
Ukisikia mapenzi yanarun dunia unafikiri mchezo, jama hakumuona wa thamani mbona wakaoana,sawa wamejishusha thamani ila dada kakatishwa penzi na kuchukuliwa mume bila hiari yake, aangalir moyo wake unataka nini kama masters aendelee,ila jua wanaume wakamilifu kuwapata haipo
 
nashukuru similiki bunduki, ningekuja kukusadia kazi rahisi hiyo

piga chini wote

watakavyoishi ni juu yao, na binafsi nakusifu kwa moyo wa uvumilivu ulonao mpaka sasa, wengi wetu hapa saa hii tungekuwa Segerea kwa multiple murder
Piga chini is not always the solution, ukipata mpya na ye akacheat utapiga chini hadi lini,jitathmini na uamue
 
Ingekua mimi, mwanamke ukiondoka nachinja ng'ombe. Dogo wako sitamuoa ila nitakua najipigia, mtoto akikua shuleeeeeee. Ukiwa na watoto wawili watatu wa nje mwanamke wanini tena.
 
dah pole sana mwaya..hawa wanaume sijui sometimes akili wanaweka wapi..yaani of all wanawake outside there ndio atue kwa mdogo wako..mxiuu

kamusi;
Nadhani weye ni ke kwa mtizamo wako, lakini mbona hukuona tatizo kwa hao wanawake hapo?
Kwako mleta hoja;;
Mdogo wako, anakuja kukaa kwako ati anangojea ajira. Nasema haikuji. Haiingii akilini. Weye ulikuwa una mipango yako ya kupata Masters, mbona hukumshauri dogo naye aitafute Masters isije kumuwia shida ka weye? Mbona ulimpa uhuru mkubwa kihivyo? Kondoo wanakula pamoja na mbwa mwitu?
Tuyaache hayo, ila kumpiga chini mumeo si uamuzi mzuri. Bahati mbaya sana hakumshibisha maharagi hg bali dogo wako. Sasa, imesha affect si nyumba yako tu bali mpaka tumbo la mamako.
Punguza hasira, mrudishe mumeo. Sasa amejifunza, atashika adabu kwako. Dogo, aendelee zake, ila mtoto ni wako. Akiisha kunyonya leta, home. Nakuhakikishia, hutapata mtoto mzuri ka huyo. Just mark ma words.
 
Wewe sio mwanaume ila fedhuli unaetetea upumbavu, mwanamke kusoma ndo mashauzi, mke wangu ana PhD mimi form 6 tunapendana tunaishi vizuri elimu yake haiadhiri biashara zangu huyo jamaa ni mshenzi mpige chini
Na wewe unaishi kwenye nyumba yake?huyu wa dada Leah anaishi kwenye nyumba ya dada Leah,kwa sasa katimuliwa.
 
Wanasemaga mtt hana kosa, sawa. Lkn itafika siku huyo baba atataka huyo mtoto aletwe hapo hom, km binadamu kwa kweli hayo ni majaribu makubwa. Asee hakuna uvumilivu wa kinafiki...achana na huyo mwanaume uendelee na maisha yako dear. Pole sana
 
kamusi;
Nadhani weye ni ke kwa mtizamo wako, lakini mbona hukuona tatizo kwa hao wanawake hapo?
Kwako mleta hoja;;
Mdogo wako, anakuja kukaa kwako ati anangojea ajira. Nasema haikuji. Haiingii akilini. Weye ulikuwa una mipango yako ya kupata Masters, mbona hukumshauri dogo naye aitafute Masters isije kumuwia shida ka weye? Mbona ulimpa uhuru mkubwa kihivyo? Kondoo wanakula pamoja na mbwa mwitu?
Tuyaache hayo, ila kumpiga chini mumeo si uamuzi mzuri. Bahati mbaya sana hakumshibisha maharagi hg bali dogo wako. Sasa, imesha affect si nyumba yako tu bali mpaka tumbo la mamako.
Punguza hasira, mrudishe mumeo. Sasa amejifunza, atashika adabu kwako. Dogo, aendelee zake, ila mtoto ni wako. Akiisha kunyonya leta, home. Nakuhakikishia, hutapata mtoto mzuri ka huyo. Just mark ma words.
Ngoja mkeo aje amepewa mimba na mdogo wako ndo upate mtoto mzuri...
 
Ukisikia mapenzi yanarun dunia unafikiri mchezo, jama hakumuona wa thamani mbona wakaoana,sawa wamejishusha thamani ila dada kakatishwa penzi na kuchukuliwa mume bila hiari yake, aangalir moyo wake unataka nini kama masters aendelee,ila jua wanaume wakamilifu kuwapata haipo

hata ninyi wanawake wakamilifu sio wote
 
Habari za asubuhi wanajamvi,

Nimekuwa kwenye wakati mgumu kwa muda sasa.

Nimeolewa na Nina miaka miwili kwenye ndoa lakn sikuwa tayari kuzaa kwakuwa tulikubaliana mpaka nimalizie masomo yangu ya masters ambayo natarajia kumaliza mwaka huu.

Tumekuwa tunaishi vizuri tu na mume wangu nikimtii na kuwajibika kwa majukumu yangu yote kama mke kwa mumewe pamoja kuwa Ninafanya kazi na kusoma pia.

Mimi ni muajiriwa lkn mume wangu wangu ni mfanyabiashara kariakoo.

Nina mdogo wangu ambaye aligraduate mwaka jana akaomba akae kwangu wakati anatafuta kazi, sikuona shida nikamkubalia.

Tangu aje tumekuwa tukiishi vizuri tena kwa amani.

Kama Dada nilijitahidi kumtengea mdogo wangu bajeti yake toka kwenye mshahara wangu kwa kila mwenzi iliaweze kumudu kufuatilia mambo yake kirahisi.

Baada yakuwa nae kwa miaezi mitano nikaanza kuona mabadiriko kadhaa.
Akawa karibu na mume wangu sana, sikujali nikajua ni ushemeji tu.

Siku moja nilirudi nyumbani mapema sikukuta mtu.

Nikaendelea na maandalizi ya chakula cha jioni, nikiwa jikoni nikasikia sauti ya mume wangu na mdogo wangu wanabishana.

Niliposogea dirishani nisikilize vizuri huku nikichungulia nje nikaona dogo analia na mume wangu anambembeleza huku akimfuta machozi.

Nikatulia nione nini kinaendelea, nikasikia mume wangu anamwambia itabidi tuitoe maana Dada yako akijua wote tutakuwa nawakati mgumu..

Nikachukua simu yangu nikawa nawarekodi, baada ya muda wakaingia ndani nami nikajifanya sijui chchte.

Sikuwauliza chchte nikijipa muda wa kufanya utafiti zaidi.

Baada ya wiki, mdogo wangu akaniambia kuwa ana shida na Mimi.

Nikamsikiliza akaniambia kuwa ana mimba..

Sikuhamaki wala kuonyesha kama najua chchte, nilimuulize nani muhusika akajibu hajui.

Nikamwambia kama hujui sina namna ya kukusaidia siku ukijua utaniambia nijue jinsi ya kukusaidia.

Akaanza kulia na kunipigia magoti huku akisema nisamehe Dada, nikamwambia wala hujanikosea.

Nikamwambia wewe ni mtu mzima umeamua kuzaa kunashida gani?

Baba wa mtoto naamini yupo kwahiyo sikuhukumu.

Akasema, kuna jambo nataka nikwambie..
Niikamwambie aniambie..
Akasema lakini naomba unisamehe, shemeji ndo amenipa mimba.

Kwakweli niliumia sana, nikamuuliza wana muda gani tangu waanze mahusiano akajibu ni miezi minne sikujibu neno, nikaendelea na shughuli zangu.

Mume wangu alikuwa matembezi, aliporudi nikawaita wote wawili, nikamwambie Dogo aseme alichoniambia mbele ya shemeji yake.

Akasema tena ana mimba ya shemeji yake..mume wangu kusikia vile akataka kuwa mkali..

Nikamwambia hana haja ya kufoka, nikanyamaza sikusema wala kulaumu chchte.

Nikaamua kuwaita wazazi wangu na wake pia bila wao kujua,

Walipo kuja nikawambie Mimi ndiye niliyewaita lkn mume wangu na mdogo wangu ndiyo wanachakuwaambia.

Walipoulizwa wanasemaje dogo akaeleza kuwa anamimba ya shemeji yake..

Mume wangu alipoulizwa kwa unyonge sana alikubali. Wazazi wakaniuliza Nina maamuzi gani?
Nikawajibu nimeamua kumuachia mume mdogo wangu.

Wazazi wakanisihi nimsamehe na tuendelea na maisha ya ndoa..na dogo arudi kwa wazazi.

Niliwakatalia nakuwambia kuwa nisingeweza kuvumilia ndoa ya aina Ile..nikamwambia wasijipotezee muda wao kuniambia cha kufanya niliwaita waje wasikie uchafu niliofanyiwa then baada ya hapo mimi ndo nitoe maamuzi
Nilisisitiza maamuzi yangu nikutoendelea na ndoa tena.

Waliniambia nisichukue uamuzi bila kutafakari wakanipa wiki tatu za kufikiria Leo hii ni siku ya nane tangu nipewe muda wa kutafakari..

Niliwaomba niwe mbali na watuhumiwa wangu kipindi cha kutafakari.

Nikawasihisi watuhumiwa wao ndo wanipishe nyumbani kwangu, maana tunapoishi ni kwangu.

Wameondoka na sijui walipo kwenda.

Binafsi sijisikii kuendelea kuishi na huyu mwanaume ingawa kweli tumeshafunga ndoa lkn siwezi kuwa na raha ya ndoa ktk mazingira kama haya.

Najiuliza heshima yangu iko wapi?

Jamii inanionaje?

Na mtoto atayezaliwa ntamuonaje?

Naona dhambi hii ni kubwa sana siwezi kuibeba.

Wadau naomba msaada maamuzi niliyochukua naweza kuwa sahihi? Nisaidie plz.

Naomba plz sihitaji matusi wala mizaha nahitaji ushauri na faraja.

Naamini ktk wingi wamashauri hapakosi hekima.
Ni pm namba yako nikupe ushauri uliotukuka
 
Jamani pole! Ngoja tusubiri busara za wenye experience za ndoa
Dada valentina sio lazima wenye ndoa ndo watoe ushauri bali hata wewe naamini unaweza kumshauri vilivyo zaidi hata ya walio kwenye ndoa.Mkasa mzima umeusikia jitahidi kumsaidia mwanamke mwenzio.
 
Back
Top Bottom