Mume wa Rais...

PakaJimmy

JF-Expert Member
Apr 29, 2009
16,203
8,720
Wadau napenda kuuliza kama kama ifuatavyo: Tumezowea kuwa na marais wanaume tangu uhuru, ambapo wake zao huitwa FIRST LADIES. Kwa mfano ikatokea 2015 akapatikana rais mwanamke, je mumewe ataitwaje ki-heshima?,
Na je kuna uwezekano akaanzisha taasisi ya maendeleo kwa wanaume kama ilivyo WAMA?
 
Loh!
Hii ni mpaya ila kweli yatupasa kuitazama tena kwa macho mawili, ila yote haya suluhisho lake ni KATIBA mpya na makini...
 
wadau napenda kuuliza kama kama ifuatavyo: Tumezowea kuwa na marais wanaume tangu uhuru, ambapo wake zao huitwa first ladies. Kwa mfano ikatokea 2015 akapatikana rais mwanamke, je mumewe ataitwaje ki-heshima?,
na je kuna uwezekano akaanzisha taasisi ya maendeleo kwa wanaume kama ilivyo wama?

first gentleman
 
Kuna yule rais wa Liberia, hivi ana mume? labda tukijua ndio tutajua jina lake.......halafu wa kwetu ulipotea sana.....leo nilikuwa nakuja kukutafuta ujue
 
Anaitwa OFFICIAL CONSORT hakuna kitu kama FIRST GENTLEMAN....hata mume wa malkia sio KING ni prince tuu

The title "First Lady" originated in the United States in 1849, when United States President Zachary Taylor called Dolley Madison "First Lady" at her state funeral while reciting a eulogy written by himself.

In the early days of the United States, there was no generally accepted title for the wife of the President. Many early first ladies expressed their own preference for how they were addressed, including the use of such titles as "Lady," "Mrs. President," "Mrs. Presidentress" (in the case of Julia Tyler) and "Queen of the White House."

Harriet Lane, niece of bachelor President James Buchanan was the first woman to be called First Lady while actually serving in that position. The phrase appeared in Frank Leslie's Illustrated Monthly in 1860, when he wrote, "The Lady of the White House, and by courtesy, the First Lady of the Land." Once Harriet Lane was called First Lady, the term was applied retrospectively to her predecessors.

The title first gained nationwide recognition in 1877, when Mary C. Ames wrote an article in the New York City newspaper The Independent describing the inauguration of President Rutherford B. Hayes. She used the term to describe his wife, Lucy Webb Hayes.

In some situations, the title is bestowed upon a non-spouse. Park Geun-hye, former head of the Grand National Party of Korea, has been referred to as the First Lady to South Korean President Park Chung Hee. Although she is President Park's daughter, the title was bestowed upon her after her mother's death.

The title "First Gentleman" is used for the head of state's husband in the Philippines as well as for Governors' husbands in US states. In addition, it has been theorized that it is likely that "First Gentleman" would be used for the male spouse of an American head of state. As an alternative to "First Gentleman," former Alaska Governor Sarah Palin often referred to her husband as Alaska's "First Dude." The husband of Washington's Governor is at least one example of using a name instead of a noun: he is called "First Mike".Former U.S. President Bill Clinton also joked that perhaps his title would be "First Lad" or "First Mate" if his wife Hillary Clinton were to be elected President
 
Loh!
Hii ni mpaya ila kweli yatupasa kuitazama tena kwa macho mawili, ila yote haya suluhisho lake ni KATIBA mpya na makini...

Mpaka raha, kila kitu sasa ni katiba mpya watoto wakiuliza kwanini baba hujaenda kazini inabidi ujibu mpaka tupate katiba mpya
 
duh hii ni kali, mi naona tukifikia uamuzi wa kuwa na Rais Mwanamke basi tutachagua ambaye hajaolewa kupunguza utata.
 
Wadau napenda kuuliza kama kama ifuatavyo: Tumezowea kuwa na marais wanaume tangu uhuru, ambapo wake zao huitwa FIRST LADIES. Kwa mfano ikatokea 2015 akapatikana rais mwanamke, je mumewe ataitwaje ki-heshima?,
Na je kuna uwezekano akaanzisha taasisi ya maendeleo kwa wanaume kama ilivyo WAMA?

2015 Rais wa JMT atakuwa Slaa (PhD).
 
Wadau napenda kuuliza kama kama ifuatavyo: Tumezowea kuwa na marais wanaume tangu uhuru, ambapo wake zao huitwa FIRST LADIES. Kwa mfano ikatokea 2015 akapatikana rais mwanamke, je mumewe ataitwaje ki-heshima?,
Na je kuna uwezekano akaanzisha taasisi ya maendeleo kwa wanaume kama ilivyo WAMA?

PJ tulikukosa bana.

habari za masiku.
 
Wadau napenda kuuliza kama kama ifuatavyo: Tumezowea kuwa na marais wanaume tangu uhuru, ambapo wake zao huitwa FIRST LADIES. Kwa mfano ikatokea 2015 akapatikana rais mwanamke, je mumewe ataitwaje ki-heshima?,
Na je kuna uwezekano akaanzisha taasisi ya maendeleo kwa wanaume kama ilivyo WAMA?

First Gentleman
 
.... mumewe ataitwa RA, kwa kipindi hiki. Just reading between the lines. kwi kwi kwi!
 
..Na kuhusu taasisi kama wama bila shaka itakayoanzishwa na mume wa rais itaitwa WABA
 
Nenda google...
Ebu anza na hii hapa chini, halafu search nyingine na mwishowe changanya na za kwako!!

What do you call a president's husband?

Though Bill Clinton's waggish reply - "First Laddie!" - is more a confirmation of his political professionalism (make a joke, reach out to wavering voters of Scottish ancestry) than useful, it is a question he will have to consider if Hillary makes it to the White House.
First ladies of yore took their time: not until 1877, nearly 90 years after George Washington became the first US president, did they settle on First Lady, having called themselves "Lady", "Mrs President", "Mrs Presidentress", even "Queen". But these days it would be a dereliction of duty if a tabloid journalist did not come up with a name for him in the first 24 hours - so Bill would be well advised to get in first.
Of course, once a president of the republic, always a president of the republic, and Bill Clinton, like Jimmy Carter, like Bush Sr, will be "Mr President" until the day he dies - so doesn't really need a title at all. It is also true that Mr and Mrs President has a rather neat ring to it. But let's stick with this, if only for the benefit of future presidential husbands. The most generally suggested term is First Gentleman. As that's also what the husbands of the female governors of Michigan and Alaska call themselves, perhaps they could gracefully step aside. Other countries have ducked the issue - in Ireland, Mary McAleese's husband is generally called Dr Martin McAleese, the president's husband; Angela Merkel's spouse, a quantum chemist, is so unwilling to have anything to do with her job that he was once nicknamed "the Phantom of the Opera" by the German press. But both the Philippines and India have First Gentlemen, so maybe Bill could join them, and make a club of three. Just so long as he's not called First Partner. Or, heaven forfend, First Spouse.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom