Rais wa Senegal (elect) kaingia na wake zake wawili kwenye sherehe ya kupongezwa ushindi

Covax

JF-Expert Member
Feb 15, 2021
6,277
21,455
Suali langu kuu ni kwamba first lady ni office ya kikatiba sasa kwa hali kama hii Rais akiwa na wake wawili, watakuwa wanapokezana au kutakuwa na office mbili za first ladies, au mke mkubwa ndo atapewa cheo hicho?

Kijana mdogo miaka 44 ana wake wawili unakuta wanaume wazima miaka 60 kiongozi bado anazini tu na michepuko loh wanaume wa Tanzania wengi ni waoga wa maisha.

Hilo ni taifa lenye katiba yake na taratibu zake so lazima hiyo option iwepo.

Swali la msingi ni je huyu raisi ni yeye peke yake amewahi kushika hicho kiti akiwa na wake wawili?hao unaosema wenye miaka 60 wanazini unaweza ukathibitisha labda kuna siku umewahi kuwashikia miguu wakiwa na vimada wao?
 
Hapa mtaani kuna mbaba miaka kama 60 anaingiza malaya kila siku ila ana familia mkuu unatska ni dhuhudie je mpaka niingie ndani, kwani guest ni duka kwamba kuna kazi nyingine zaidi.
 
Suali langu kuu ni kwamba first lady ni office ya kikatiba sasa kwa hali kama hii Rais akiwa na wake wawili, watakuwa wanapokezana au kutakuwa na office mbili za first ladies, au mke mkubwa ndo atapewa cheo hicho?

Kijana mdogo miaka 44 ana wake wawili unakuta wanaume wazima miaka 60 kiongozi bado anazini tu na michepuko loh wanaume wa Tanzania wengi ni waoga wa maisha.

View attachment 2945847
Je, hao wake zake nao watalipwa viinua mgongo kama ilivyo kwa Tanzania?
Kama hawatalipwa viinua mgongo sioni tatizo lolote lile, hata akiwa na wake 100.
 
Suali langu kuu ni kwamba first lady ni office ya kikatiba sasa kwa hali kama hii Rais akiwa na wake wawili, watakuwa wanapokezana au kutakuwa na office mbili za first ladies, au mke mkubwa ndo atapewa cheo hicho?

Kijana mdogo miaka 44 ana wake wawili unakuta wanaume wazima miaka 60 kiongozi bado anazini tu na michepuko loh wanaume wa Tanzania wengi ni waoga wa maisha.

View attachment 2945847
muda wake wa kutamba
 
Hakuna malaya atafanya mageuzi ya kiuchumi iwe ngazi ya familia au Taifa

Kasome historia ya dunia watu walioishape dunia uone km waliwekeza kwa malaya

Wanawake wengi wanapunguza uwezo wa kufikiri

Uyo dogo bada ya miaka mitano atakuwa na wake zaidi ya sita

Muda wa kulitumikia Taifa utakuwa mdogo sana
Hana akili kisa kaoa wake wa wili, mbona Raisi wetu akikubali uke weza, unataka kuniambia wewe una akili kuliko Raisi wetu mpendwa?
 
Hakuna malaya atafanya mageuzi ya kiuchumi iwe ngazi ya familia au Taifa

Kasome historia ya dunia watu walioishape dunia uone km waliwekeza kwa malaya

Wanawake wengi wanapunguza uwezo wa kufikiri

Uyo dogo bada ya miaka mitano atakuwa na wake zaidi ya sita

Muda wa kulitumikia Taifa utakuwa mdogo sana
Na hivi wamegundua mafuta. Unachosema ni sahihi.
 
Suali langu kuu ni kwamba first lady ni office ya kikatiba sasa kwa hali kama hii Rais akiwa na wake wawili, watakuwa wanapokezana au kutakuwa na office mbili za first ladies, au mke mkubwa ndo atapewa cheo hicho?

Kijana mdogo miaka 44 ana wake wawili unakuta wanaume wazima miaka 60 kiongozi bado anazini tu na michepuko loh wanaume wa Tanzania wengi ni waoga wa maisha.

View attachment 2945847

Huyu Rais mpya ni Muislamu mkuu? Why wake zake waingie na Nguo zisizo na stara halafu vichwa wazi! Aise
 
Back
Top Bottom