Emanueli misalaba
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 2,956
- 4,049
Nchi inaongozwa na Kizuka sasa siyo Mjane hapana ni Kizuka.
Kwenye uislamu anatakiwa akae eda miezi 4, siku 120 ndani bila kutoka toka nje ya nyumba,
Huku akiwa na mavazi ya kuomboleza,
Je ataweza kukaa ndani asitoke kwenda kuhutubia na kufungua miradi mbalimbali na asisafiri kwenda nje ya nchi au mikoa mbali mbali kwa miezi 4?
Atatii dini yake na sheria zake?