Nimecheka saana.Mungu utatuua Kwa mibaraka
Nimecheka saana.Mungu utatuua Kwa mibaraka
Wewe una changamoto kama za The Gunner. Inafaa muwe couple.Kama mama yako tu
Sahihi kabisa usemayo,siku zote Mke akifa ndio utambulisho wa mume utajulisha ila kwa mke likishatajwa jina lake ama hadhi yake yatosha,ukishasema Mume wa Rais tutajua ni kiongozi wa nchi,ila kwa kwa mwanaume tutasema mke wa rais fulani kafariki"Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki dunia"
Kwenye hii title, maneno manne "mume", "wa" "Hafidh" na "Ameir" yangeondolewa ingekua ni unyama ududu kabisa...
Nasubiri hilo darsa.Hapana,Nitakuelewesha akitoka Eda
Huenda yeye anaweza asiwe na maumivu ndiyo yale ya Mkapa, Mangufuli na Salmin Amour, Huwezi kuwa Rais bila ya kuwa na ndoa iliyo hai, so kwa shingo upande iliwalazimu kurudiana na watalaka wao au kuoa.Ila hii imemtingisha target husika, soon kitamlamba
Kwahiyo CCM, Tlaatlaah Lucas Mwashambwa muelewe siku akifa mlengwa kutakuwa na sherehe kubwa Tanganyika nzima kama mna namna ya kuzuia hiyo sherehe fanyeni sasa kabla Samia hajafa.As long as hio familia inapitia wakati mgumu watu walioumizwa watashangilia tu...
Kwenye Biblia unakumbuka Mungu alimpa adhabu Daudi?, Daudi alilala na Bathsheba, alikuwa mke wa askari wake mwaminifu aitwaye Uria, Bathsheba akapata ujauzito , Daudi akapanga njama Uria afe vitani...
Mungu akamtuma Nathani kumuambia Daudi juu ya dhambi aliyofanya...
Yule mtoto wa Bathsheba baada ya kuzaliwa Mungu akampiga kwa ugonjwa mbaya, yule mtoto akafariki licha ya Daudi kutubu , kuomba na kufunga kwa siku saba...
Daudi alitubu mbele ya Nathani ili kifo kisimpate yeye...
Wewe unafikiri Mungu alikosea kumpiga yule mtoto ugonjwa? Unafikiri Mungu alikosea? Yule mtoto alikuwa na kosa gani?
Kama umeelewa utafahamu kwanini watu wanashangilia...
Mungu alimpiga yule mtoto kwa ugonjwa ili Daudi apitie maumivu, Mfalme Daudi alifunga na kuomba kwa siku saba akilala sakafuni ili Mungu asimpige kwa ugonjwa yule mtoto afe... lakini Mungu akaamua alicho amua...
Nadhani umenielewa...
Kifo ni kifo tu usijifanze kwamba kifo hiki si kifo tu.Pole comrade samiah suluhu hassan
Mnaandikaga porojo kwamba huyo mzee kafa kisa familia yake ilihusika 29?
Kwamba kabla ya 29 watu walikuwa hawafi?
Au wasingehusika hiyo 29 wasingekufa?
Kifo kipo tu uwe mwema uwe muovu msiwe mnakuza vitu vilivyopo tangu na tangu.
Akili ndiyo hunaga 🤣Nishasema kwenye PM yako...😋
Hii inaumuhimu kwa taifa kwa sasa..?Idadi wa wanawake alikuwa nao
Kuna watoto wa wachungaji wanapewa malezi mema na kila kitu ila mwisho wa siku anakuja kumtia aibu mzee wake.Hakumulea Abdul vizuri.
Matokeo yake ndio hayo Leo Abdul anachinja yeyote anae mtaka.
Ndio maana unanipenda ili unitawale eeehhh....🤭Akili ndiyo hunaga 🤣
Hawashangilii kifo cha huyo Baba, wanashangilia mama kufiwa .Huyu Baba amewakosea nini Watanzania?
Nampenda mpenzi wangu we mzee🤣Ndio maana unanipenda ili unitawale eeehhh....🤭
Hiyo style yako ya kusikitika msiba ndio sijaipenda🫵😄Mkuu nimefanyaje? Nasikitika msiba.
I love you too....😋Nampenda mpenzi wangu we mzee🤣
Hakuna namna ya kukwepa amri ya Allah.Kwa hiyo Samia saivi kizuka ?