peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 17,084
- 28,858
Sheria akitoka Eda, lazima JK amuonjeRais wetu atakaa Eda miezi m4 hamtamuona kwa sasa
Sheria akitoka Eda, lazima JK amuonjeRais wetu atakaa Eda miezi m4 hamtamuona kwa sasa
Mjane ndiyo anakuwa singomaza?Tanzania imeingia kwenye rekodi mpya duniani kuwa,nchi ya kwanza duniani kwa kuwa na Rais Mjane
Mkuu nimefanyaje? Nasikitika msiba.binti kiziwi na wewe kumbe ?
Hapana,Nitakuelewesha akitoka EdaMjane ndiyo anakuwa singomaza?
Tunashukuru Warioba yupoMume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.
Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Inna Lillah WAINNA ILLAH RAJUUN, poleni sana.Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.
Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
R.I.P Mzee Hafidhi Ameir🌹
Hakuwahi kufiwa?..rudieni tena kuingia barabarani kama mange anavyowaambia muone
ok.🐒Tunashukuru Mungu Warioba yupo mafisadi polepole watupishe
Yes,kifo ni kifo tu😁😁 gentleman
Nishasema kwenye PM yako...😋Utasema siku nyingine