Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 33,993
- 97,703
Ipo telee, leo nimeona nipige henessy poriWatu wa viwango...Mamng'odee leo tuna maombolezo. Hadi nimeikumbuka ile The Old Monk. Au umeshaweka viwango?
Ipo telee, leo nimeona nipige henessy poriWatu wa viwango...Mamng'odee leo tuna maombolezo. Hadi nimeikumbuka ile The Old Monk. Au umeshaweka viwango?
Enjoy!Ndio
Umeupokeaje msibaEnjoy!
Si useme vishite vishite au siyo?Hapana hilo haliwezekani maana anakutana na vitu. Vipyaaa kabisa 70 wabichiii shatashata⚠️🚫⛔️
Ipo telee, leo nimeona nipige henessy pori
Andika tukila nikiandika nafuta.
Roho mbaya kama shetani, fala weweAsante kwa Taarifa
Tangu asbh nalia tu sijala chochote nna maumivu makali sana tumepata pengo!Umeupokeaje msiba
Hivi ina taste vipi hii? Nimezoea martini rose
Wewe hauiwezi, ina utamu wakati umezoea vitu vikaliHivi ina taste vipi hii? Nimezoea martini rose
Avunje tu ili laana imwandame vizuriKwenye uislamu anatakiwa akae eda miezi 4, siku 120 ndani bila kutoka toka nje ya nyumba,
Huku akiwa na mavazi ya kuomboleza,
Je ataweza kukaa ndani asitoke kwenda kuhutubia kwa miezi 4?
Mm napendekeza apigwe risasi ya kichwa ili tujue kweli amekufa au amezimia, kama amekufa kweli hatotingishika, ila kama alikuwa amezimia bc atachezesha hata macho 😎Wamemzika chapu chapu ili asije akafufuka bure
Kwenye hilo pengo weka mawe ili lizibeTangu asbh nalia tu sijala chochote nna maumivu makali sana tumepata pengo!