TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

TANZIA Mume wa Rais Samia, Hafidh Ameir, afariki Dunia

eti huyu mkatoliki seriously
 

Attachments

  • SAVE_20260907_203005.jpg
    SAVE_20260907_203005.jpg
    127.2 KB · Views: 6
Kumiliki mali yoyote uliyotafuta wewe mwenyewe na kuweza kumudu gharama zote za aina ya lifestyle uliyochagua kuishi bila kumbebesha mzigo mwanaume wala kujiona upo entitled kwenye hela na mali za mwanaume. Inatosha kabisa. Mmeamua kuwa wapenzi peaneni mapenzi, na kila mmoja abaki na hela zake. Kama unajiona una haki ya kulipwa ili utoe penzi basi pale pale unapotongozwa nyosha maelezo sema unauza
Dahh unakaba sana! Kama mtu anamiliki smartphone tu haruhusiwi kuingia mahusoano serious?
 
Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.

Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Sisi wa mikoani wali tunakula wapi🤔🤔
 
Back
Top Bottom