Amefia wapi?
Usiingilie furaha ya watu mkuu.Yaan watu ni wajinga sana unacheka kifo, mume wa rais ni over 70, sasa hapo unashangilia nini
Si wamesema moyoHata chanzo cha kifo hawajakisema
Huo moyo wa kuhisi uchungu anao basi?Hizi ni habari njema sana. Asante Mungu. Ngoja naye aone uchungu wa kufiwa.
Yaan watu ni wajinga sana unacheka kifo, mume wa rais ni over 70, sasa hapo unashangilia nini
Anatafuta mali! Hana habari ni Yatima muda hiuPole sana. Marehemi ni nani kwako?
Ruto ana habari?Jimbo lipo wazi🤣
Lazima siku 120Kwahiyo Mama atakaa eda kama desturi na taratibu za dini yake?