Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 14,228
- 30,841
Ewaaaaa!!
Watu weweeeee!!!
Watu weweeeee!!!
Leo ni sikukuu kubwa. Mzee mzima niko restaurant moja maarufu naburudika nikishangilia target ingawaje imemkosakosa target yenyewe.Kwa masikitiko makubwa, tunatoa pole na rambirambi zetu za dhati kwa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia msiba wa mume wake mpendwa.
Katika kipindi hiki kigumu cha majonzi, tunamuombea Mwenyezi Mungu ampe Mheshimiwa Rais nguvu, moyo wa subira na faraja katika kukabiliana na pengo hili kubwa la kumpoteza mwenza wa maisha.
Vilevile, tunatoa pole kwa familia, ndugu, jamaa na marafiki wote walioguswa na msiba huu. Tunatambua kuwa maneno hayawezi kuondoa maumivu ya kumpoteza mpendwa, lakini tunawaombea mpate nguvu na faraja katika kipindi hiki cha huzuni.
Pole kwa Mheshimiwa Rais. Pole kwa familia. Pole kwa ndugu na jamaa. Na pole kwa Watanzania wote kwa ujumla kwa msiba huu uliotugusa kama taifa.
Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape wafiwa wote moyo wa subira katika kipindi hiki kigumu.
Sawasawa Kabisa. Kwa huyu mwanamke hali hiyo ndiyo yenyewe.Kifo ni kifo tu...
Hadi wewe mtumishi wa umma..?🤔🤔🤣🤣Japo ni Off Target, ila kushukuru kwa hiki kidogo pia.
Safi sanaa.
Ubinaadam tu wa kawaida; kuyasema haya maneno, tena kwenye wakati kama ule...!Ndie baba yake, kifo kimeweka msawazo sana wakati maiti za vijana zimelala pale chini Mwanyamala kwenye morgue iliyojaa hadi kuzidiwa uwezo mkwe na shemeji yake Abdul aliamuru wizara ya afya waseme ni AI.
Kama una chura tunaignore hayo yote 😞Kwahiyo tunatakiwa kuwa na kama shingapi(capital) ili tuheshimike na nyie present husbands?
Ubinaadam tu wa kawaida; kuyasema haya maneno, tena kwenye wakati kama ule...!
Inabidi kujiuliza, hawa kweli ni binaadam, au ni kitu gani hawa!
Mnaandikaga porojo kwamba huyo mzee kafa kisa familia yake ilihusika 29?Ndie baba yake, kifo kimeweka msawazo sana wakati maiti za vijana zimelala pale chini Mwanyamala kwenye morgue iliyojaa hadi kuzidiwa uwezo mkwe na shemeji yake Abdul aliamuru wizara ya afya waseme ni AI.
Maiti zile baadae zilikwenda kuzikwa kwa siri ambapo ripoti ya CCN ilifichua ni kule Kondo ikapelekea familia nyingi kutowahi kuona tena maiti za ndugu zao hadi wakazika nguo, viatu, na picha.
Leo hii familia ya wauaji walitamani hata wafiche hiki kifo cha huyu mtu wao ila ndio vile hawawezi pumzi ni kitu kidogo tu ila hata kwa hayo mabilioni yao waliyonayo hawawezi kuinunua.
Good riddance to bad rubbish.
Kwahiyo tunatakiwa kuwa na kama shingapi(capital) ili tuheshimike na nyie present husbands?
Walivyoua Watanganyika mbona hawakutangaza?Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir, amefariki Dunia.
Taarifa za kifo cha Hafidh Ameir, zimetangazwa na Makamu wa Rais, Deogratius Ndejembi kupitia Vyombo vya Habari.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Deogratius Ndejembi akitangaza taarifa ya msiba wa Mhe. Hafidh Ameir Hassan ambaye ni mwenza wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan.
binti kiziwi na wewe kumbe ?Enheee haya, Kawasalimie.
Kwa hiyo Samia saivi kizuka ?Inna lillah wainna ilaihyi rajiun.