Mume poa lakini hatoi unyumba

Mume poa lakini hatoi unyumba

Wee kama una nyege mwambie, tena kuwa very aggresive!
Akirudi tu mwambie, oya! Leo nina nyege nataka unit***be.
 
Nuksi huwa tunazitengeneza wenyewe.. Hivi kweeeli nishindwe kumwambia laazizi leo nina appetite???? Hata kumpapasa tuu jamanii nijue kama yaliyomo yaamoo????!!!
Ni maajabu ya penzi lao...me nahisi huyu kaja kutuwashia mziki sasa twaucheza pekeetu angekuwa kweli anauhitaji ushauri wetu tungemuona ana pay attention hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ofcourse mapumziko muhimu ila namaanisha ile pull closer tu ya kupata lile joto adimu ndo iwe daily
4116b47c5a72840da281e3a85d0f0ea4.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app

Raha sana mume akikumbatia hivyo hata mengine yasipoendela poa tu.
 
Wadada mnaoishi na waume. Unajisikiaje pale mumeo/mchumba wako anarudi home na kajitupa tu kitandani hadi asubuhi bila kukugusa wala nini na hali hii inaendelea hivi kwa wiki au miezi kadhaa ila anatoa huduma zingine kama kawaida.

Kifupi haoneshi shauku yyte ya "kula asali" na wala hamjanuniana wala nini mnachati na mambo mengne yanaenda kama kawaida.

Unamchukualiaje mume/mchumba kama huyu. Je kuna sababu ya kuhisi hakupendi na labda anakidhi mahitaji yake mengine huko nje?

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kwa mara ya mwisho nani aliomba game??

Kama ni yeye ujue amesubiri zamu yako uombe, na usipoomba hapendi kukuudhi labda hujajisikia.

Eti haulizi!! Wewe umeuliza??
 
Niko upande wa mumeo, kwanini siku nyingine usianze wewe.
 
Nimependa hapo kwenye rangi 😵😵😵

Mmh. Ngumu kumeza aisee.

Kaa naye mzungumze ujue shida iko wapi kama ana tatizo mkatafute wataalamu wa Afya. Kusubiri kwa kipindi chote hicho ni kupalilia tatizo.

Inamana we nawe hata kumgusa humgusi akilala na wewe unalala kama ni hivyo we pia una shida sehemu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom