Mume poa lakini hatoi unyumba

Mume poa lakini hatoi unyumba

Wadada mnaoishi na waume. Unajisikiaje pale mumeo/mchumba wako anarudi home na kajitupa tu kitandani hadi asubuhi bila kukugusa wala nini na hali hii inaendelea hivi kwa wiki au miezi kadhaa ila anatoa huduma zingine kama kawaida.

Kifupi haoneshi shauku yyte ya "kula asali" na wala hamjanuniana wala nini mnachati na mambo mengne yanaenda kama kawaida.

Unamchukualiaje mume/mchumba kama huyu. Je kuna sababu ya kuhisi hakupendi na labda anakidhi mahitaji yake mengine huko nje?

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app

Embu lete nionje pengine asali imepungua utamu nikishaonja utapata majibu hapohapo
 
Baadhi ya wanandoa hawapo romantic kabisa. Kama huyo mwanaume hakugusi, wewe unalala nae hata hufanyi chochote kuamsha hisia zake?
 
Hizi nazo unrealistic expectations za kwenye ndoa.

Muanze asubuhi akiwa anatoka bafuni.

Grab his manhood give it a little kiss. Tell it nina kazi na wewe jioni.

Mchana mchana text him something naughty.

Jioni jioni Anza maandalizi.

Men hate monotony. Style ile ile ya kila kitu deile. Msosi, mpangilio wa vitu ndani ama hata sex.

Unaweza kuta he is just bored. Spice stuff up.
 
Mi nadhani ki msingi wanandoa wote wanapaswa kupeana tunda kila pale mwenzake anahitaji.

Ki msingi km mmoja anakuwa haonyeshi mwamko wa kimapenzi na mwingine akauchuna kimya kana kwamba hamuoni mwenzake hapo patakuwa na tatizo kwa wote,na hiyo itakuwa sio ndoa tena.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inabidi tuzidi kuamini ule usemi wa ndege wafananao huruka pamoja.

Mana sio hali ya kawaida hiyo kwa binadamu waliokamilika.
Emmyta(ww itika "Naam au Abee!"): Inabidi tu akubaliane na matokeo kwa sababu inaonekana walipokuwa wanachumbiana yy hakutaka kamwe kumwonjesha papuchi kwa misingi kwamba eti "thi uthubiri ngoja tufunge ndoa". Ss analia nini? C angekuwa ameligundua hilo mapema na kupima maji na unga?.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom