Mume poa lakini hatoi unyumba

Mume poa lakini hatoi unyumba

SASA Sky Eclat INA MAANA WEWE HUWEZI KULIANZISHA? KILA SKU AANZISHE YEYE TU?
DADA emmyta KAELEZA VEMA KUWA SYO LAZIMA AANZE MWANAUME, WAKAT MWINGNE MWANAMKE ANATAKIWA AANZE UCHOKOZ

HATA SISI WANAUME TUNAJISIKIA RAHA KUANZISHIWA

HASA TUNAPOAMBIWA 'BABA NANILIU NIMEUMIS NANILIUU.. HAPO LAZMA DUDE LITAINUKA (LABDA AWE HANITHI)
 
Action speaks louder than words
 
Muwahi mapema huyo kashaanza kupiga nyeto hvyo amapoteza interest na wewe muwahi kabla nguvu hazjamuishia...
Ukizubaa akilowea huko ni hatar kumbuka nyeto ni tamu kuliko papuchi
 
Inataka moyo kunyamaza,na hasa mkiwa mume na mke mnalala pamoja hugs lazima ziwepo na kiss kwa tele mbona hata kama kanuna ata nunuka....
 
Wadada mnaoishi na waume. Unajisikiaje pale mumeo/mchumba wako anarudi home na kajitupa tu kitandani hadi asubuhi bila kukugusa wala nini na hali hii inaendelea hivi kwa wiki au miezi kadhaa ila anatoa huduma zingine kama kawaida.

Kifupi haoneshi shauku yyte ya "kula asali" na wala hamjanuniana wala nini mnachati na mambo mengne yanaenda kama kawaida.

Unamchukualiaje mume/mchumba kama huyu. Je kuna sababu ya kuhisi hakupendi na labda anakidhi mahitaji yake mengine huko nje?

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole yako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom