salthanks
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 3,284
- 6,862
Ok Thats good mkuu, but not everyday bana.I have just say this as a kind of joke![]()
![]()
It will not happen to me...a night without a pull closer is unacceptable
Sent using Jamii Forums mobile app

Hahaaa. Itakuwa anawajibika.
Nakubaliana na wewe ila sio kwa mwezi mkuu.Kuna nyakati zingine wanaume tunakuwa na Mawazo Mengi sana so huwezi kufiria tendo so ni vema mama naye akaplay nafasi yake ya kumwomba ama kumwonesha kuwa anahitaji nayo inakuwa poa sana. Wakati mwingine mke yuko bize kavaa mikhanga yake yake hata kale kaumbo kazuri hukaoni unategemea Mzee atainuka?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ofcourse mapumziko muhimu ila namaanisha ile pull closer tu ya kupata lile joto adimu ndo iwe dailyOk Thats good mkuu, but not everyday bana.![]()
![]()
Mana ikizidi nayo saa nyingine inakuwa kero.![]()
![]()
Wengine wanaleta uzi kutaka kutuchora tuHahaaa. Itakuwa anawajibika.
Mmh. Hata hiyo mkuu haiwezekani ikawa kila siku na hata kama ni daily itakuwa ni kitendo cha muda mana kuna saa usingizi ukikolea lazima kila mmoja ageukie kwake.Ofcourse mapumziko muhimu ila namaanisha ile pull closer tu ya kupata lile joto adimu ndo iwe daily![]()
![]()
![]()
Sent using Jamii Forums mobile app

Yeah ni kiasi cha kuupata usingizi kwenye safe mood....yaani zile tabu zote za mihangaiko ya kimaisha unazisahau hapo kwenye hiyo hugMmh. Hata hiyo mkuu haiwezekani ikawa kila siku na hata kama ni daily itakuwa ni kitendo cha muda mana kuna saa usingizi ukikolea lazima kila mmoja ageukie kwake.![]()
![]()
Ila kama mnaweza daily hongera zenu
Ningechukua dildo na kuanza shughuli mbele yake.
Hakuna mwanaume anayelala na mwanamke asile penzi,huyo atakuwa ana shida kubwa.Inashauriwa kiafya mtu lazima afanye sex 3 times a week ili kuufanya mfumo wa mwili kufanya kazi vizuri.
Kichambo on fleek..Sasa kama mwanamke unanuka nuka tu mijasho kama zizi la mbuzi, kwapa jeusi kama uchafu wa vocha unategemea huyo mumeo apate wapi mzuka!!!
Halafu kitu kingine, we mwanamke kwani huwezi kumpokea mumeo kwa bashasha na kuonesha mazingira kwamba wataka kudinyana!!! Mnataka mtongozwe hadi kwenye ndoa???
Sasa we endelea kushangaa shangaa hapo kama unasubiri lifti ya treni vile...

