Mume poa lakini hatoi unyumba

Mume poa lakini hatoi unyumba

atakuwa anawaza kujenga kiwanda na kuteneneza ajira.. akili inawaza kiwanda mashine itasimama vipi... maana anawaza mtambo ataununuaje na atakaefunga kiwandani fundi gani na je ajira awape vijana wangapi ? kichwa kiko busy na kiwanda huku kichwa cha ke kipo busy kuwaza malavidavi
 
Wanawake wengi mkishaolewa tu basi hamjali tena kujipendezesha, mwanamke unatakiwa ujipende oga vzr nukia, vzr, vaa nguo za kumtamanisha, tatizo mnajiachia unamalizabkula ucku, unajitupa kitandan, hujaoga, hujapiga mswaki, mambo mengine mtatulaumu yu, tatizo mnajipenda pale tu ukiwa unatafuta, ukishawekwa ndan tu bas unasahau kila kitu, bas wacha ajilie vya inje vinavyotia hamasa.
Hili nalo ni tatizo la wanawake wengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli mkuu ila usisahau kuwa wanandoa wanapaswa kuambiana kwa kasoro yoyote ambayo haimpendezei mmoja wao..why umchunie mwenzio badala ya kumueleza ili ajirekebishe..mke ni kioo cha mumewe na mume ni kioo cha mkewe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
atakuwa anawaza kujenga kiwanda na kuteneneza ajira.. akili inawaza kiwanda mashine itasimama vipi... maana anawaza mtambo ataununuaje na atakaefunga kiwandani fundi gani na je ajira awape vijana wangapi ? kichwa kiko busy na kiwanda huku kichwa cha ke kipo busy kuwaza malavidavi
Hata simu inahitaji kurefresh... Sembuse kichwa cha binadamu.... Huyo mgonjwa tu usimtetee.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
atakuwa anawaza kujenga kiwanda na kuteneneza ajira.. akili inawaza kiwanda mashine itasimama vipi... maana anawaza mtambo ataununuaje na atakaefunga kiwandani fundi gani na je ajira awape vijana wangapi ? kichwa kiko busy na kiwanda huku kichwa cha ke kipo busy kuwaza malavidavi
Mtihani wanao na sio bure huyo mumewe ana ganzi balaa na mke nae kabakia kula kwa macho....nahisi anaplan foundation ya smelter

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yaani kwakweli sitoweza nitamparamia haswaa hatoamini hahahah...vinginevyo ataniambia kwa marefu na mapana anampaga nani hiyo kitu yake lol.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom