Mume poa lakini hatoi unyumba

Mume poa lakini hatoi unyumba

Sasa kama mwanamke unanuka nuka tu mijasho kama zizi la mbuzi, kwapa jeusi kama uchafu wa vocha unategemea huyo mumeo apate wapi mzuka!!!

Halafu kitu kingine, we mwanamke kwani huwezi kumpokea mumeo kwa bashasha na kuonesha mazingira kwamba wataka kudinyana!!! Mnataka mtongozwe hadi kwenye ndoa???

Sasa we endelea kushangaa shangaa hapo kama unasubiri lifti ya treni vile...
Huyo mwanamme mwenzetu ana tatizo..... Kama mwanamke hajui mapenzi kamshitaki Kwa bibi yake... Bibi yake atamuelekeza.... Sasa ukijifanya unasusa wenzio wakija kula usipige kelele.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa ndiyo nini kutuandika kwa herufi kubwa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ile msome vizuri mwelewe .mwanaume hata kama hajisikii kufanya lakini ukaishika mashine yake lazima itasimama mikono yenu nilaini sana nainajito lazima hisia zimpande .so nyie mnalala eti mnasubiri kila siku sisi ndo tuanzishe ..pambaneni nahali zenu so mnakuja kulialia hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadada mnaoishi na waume. Unajisikiaje pale mumeo/mchumba wako anarudi home na kajitupa tu kitandani hadi asubuhi bila kukugusa wala nini na hali hii inaendelea hivi kwa wiki au miezi kadhaa ila anatoa huduma zingine kama kawaida.

Kifupi haoneshi shauku yyte ya "kula asali" na wala hamjanuniana wala nini mnachati na mambo mengne yanaenda kama kawaida.

Unamchukualiaje mume/mchumba kama huyu. Je kuna sababu ya kuhisi hakupendi na labda anakidhi mahitaji yake mengine huko nje?

Karibuni.

Sent using Jamii Forums mobile app
Msikariri sana maisha, kwani ni sheria kwamba ni lazima yeye aanze kuonyesha kukutaka, wewe huwezi kumuanza na kumchokoza.. Huko nje kuna anaemvua nguo mwenyewe tena anaitafuta mwenyewe... Hakuna raha kama mke wako akitaka dudu na kuitafuta mwenyewe, mwanaume anajisikia poa sana... kalagabaho..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanawake wengi mkishaolewa tu basi hamjali tena kujipendezesha, mwanamke unatakiwa ujipende oga vzr nukia, vzr, vaa nguo za kumtamanisha, tatizo mnajiachia unamalizabkula ucku, unajitupa kitandan, hujaoga, hujapiga mswaki, mambo mengine mtatulaumu yu, tatizo mnajipenda pale tu ukiwa unatafuta, ukishawekwa ndan tu bas unasahau kila kitu, bas wacha ajilie vya inje vinavyotia hamasa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom