Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,042
- 126,057
Emmyta(ww itika "Naam au Abee!"): Inabidi tu akubaliane na matokeo kwa sababu inaonekana walipokuwa wanachumbiana yy hakutaka kamwe kumwonjesha papuchi kwa misingi kwamba eti "thi uthubiri ngoja tufunge ndoa". Ss analia nini? C angekuwa ameligundua hilo mapema na kupima maji na unga?.
[emoji2] [emoji2] Nimeshaitikia mkuu "Abeee"
Hivyo mkuu unamshauri azidi kuvumilia mpaka pale dude la mumewe litakapoamua kuamka. Si eti?