Mume poa lakini hatoi unyumba

Mume poa lakini hatoi unyumba

Wanawake mmekua magoli kipa mpaka kitandani, hivi unashindwa kujiongeza na kusimamia show?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Kweli kabisa mkuu mana haja zangu nitamalizia wapi kwa kipindi chote hicho. Nisingeweza kuvumilia aisee tena tunalala kitanda kimoja. [emoji124] [emoji124] .

Labda kama yuko nje ya mji au nchi.
Ungejua............Kuna midume enzetu wala haijui kama nyie nanyi mna haja
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom