salthanks
JF-Expert Member
- Aug 5, 2016
- 3,284
- 6,862
Kumaanisha nini bulungutu au penzi teh tehha hahaha yani nacheka kwa kumaanisha
bungulutu
Upo right mkuu zoezi bila ya mlo bora ni nomaakama kuna njaa ni ngumu ha haha
anaweza mkafa
hongera mama hata sa nane usikuTatizo wanawake huwa tunasubiri mpaka mwanaume akuchokoze... Kuna muda mwenziooo atakuwa kachoka, hana appetite kabisaa..... Jiongeze ndugu, hamna mwanaume mjanja pale walau upate kamoja ka usingiziii tuu...
Mie ataamka tu kwa kweeeli...
Sky hujakosea kabisa maana njia nzima ni kupanga yatakayojiri chumbani siku hiyoWanaume wa kizungu ndiyo wanahitaji starter sijui uvae see me through. Ninachowapenda black men akitoka kazini kile kitendo tu cha kuwa za nyumbani kuna mtu kinatosha kuamsha dude.
unarudije nyumbani huna pesa labda?
Sasa ndiyo nini kutuandika kwa herufi kubwaTATIZO WANAWAKE WA KIBONGO AU WAAFRIKA KWA UJUMLA NI WASHAMBA WA MAPENZI,,, MNATAKA KILA MCHEZO MWANAUME NDO AANZISHE GAME,, KWA NN MNASHINDWA KUJIONGEZA,, WE LIANZISHE GAME ALAFU UONE KM ATAKATAA,,
AKILI ZENU ZILIVYOMBIVU ETI MNAANZA KUHISI KM MNASALITIWA,, UNAHISI KM HUPENDWI,, KELELE ZITAKUA NYINGI, ACHENI UJINGA,,
UKIONA HIVYO,, UNACHOTAKIWA KUFANYA NI KUANZISHE GAME TU,, HAKUNA KINGINE,,
SOMETIME TUNARUDI TUMECHOKA NA MIZUNGUKO NA HAMU YA TENDO HAUNA..
SO JIONGEZENIIIIIII.......................
usiogopeDada yangu umetisha kwa hili
Nimekupenda Bureeeeeee!Dada ,
Tambua kuwa palipo na penzi halisi na la kweli hakuna kutegeana katika jambo lolote lile hata iwe kitandani.
Kwa wapenzi , wanandoa waaminifu wanashirikishana kila jambo bila aibu yoyote akizingatia huyo mwenzi wake ni mwili mmoja naye.
Lazima ujue bila kuwa na aibu namna ya kujiudumia kwa mwenzi wako ikiwa ni pamoja na kumuanza kumuandaa mwenzi wako kwaajili ya kujamiiiana.
Na ni lazima uwe unamjua mwenzi wako ni sehemu gani ya mwili wake ambayo inahisia kali ya kuamsha penzi, na yeye vivyo hivyo lazima ajue sehemu zako zenye hisia ambazo akifika hapo tu lazima utakuwa katika " point of no return" , yaani hapo lazima mechi ichezwe tu hata iweje.
Mawasiliano yenu katika mahusiano ya wapenzi au wanandoa ni muhimu sana bila kuoneana aibu , muelekezane kama una nyege akufanyeje hata kama mwili ulikuwa hauko tayari kwa penzi.
Lugha ya vitendo inahusika sana kwa wakati kama huo ulio uulizia na sauti ya kubembeleza ya taratibu , kwa kufanya hivyo lazima mwenzako atalainika na kuungana na wewe na kujikuta mnamaliza hamu zenu....
Ongea kwa upendo huku mikono ikionyesha upendo pia kila kitu kitakuwa sawa , nawe utamfurahia...
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante mamy...hongera mama hata sa nane usiku
Unataka akutoe roho weweNingechukua dildo na kuanza shughuli mbele yake.
Mkuu aina yako adimu kwa zama hizi za wenye nyodoTatizo wanawake huwa tunasubiri mpaka mwanaume akuchokoze... Kuna muda mwenziooo atakuwa kachoka, hana appetite kabisaa..... Jiongeze ndugu, hamna mwanaume mjanja pale walau upate kamoja ka usingiziii tuu...
Mie ataamka tu kwa kweeeli...
safi sanaAsante mamy...
Kama niko macho halafu nina appetite hachomokii
Kwani hadi mtu atake huoni daliliumetaka ukanyimwa? wee unakaa kimya tu afu unalaumu kwel