Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,109
- 126,333
Hahaaa. Kweli kabisa mkuu. Unaweza jiona uko dunia nyingine.Yeah ni kiasi cha kuupata usingizi kwenye safe mood....yaani zile tabu zote za mihangaiko ya kimaisha unazisahau hapo kwenye hiyo hug[emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app