Muhingo Rweyemamu on Amina's Death

Muhingo Rweyemamu on Amina's Death

Evidence unayoitaka nimekuletea hapo juu, sasa UTAKOMA SIO?

Picha zingine nitaziweka, nashukuru mungu hata katika mtandao wa jK wameziweka fresh hivyo hivyo. soo zinigne hizi hapa chini

Hizi picha bado zinafeli procedure yako.....hata hivyo ngoja nitumie laptop ya kazini ambao wana linux system (ambayo ndio ili-discover kuwa picha zako za mwanzo zimefanyiwa editing) ili ku-evaluate hizi picha.

Nitakujibu baada ya muda mfupi.
 
zingine hizi hapa

DSC02646.JPG

DSC02467%282%29.JPG

DSC02483%282%29.JPG
 
CMB

Thats Technical Knock out!

No its not...ulisema the same thing ulipopewa reference kwa michuzi...inaonekana hufanyi homework zako mwenyewe.

Picha hizi zimefeli kwenye Mac system, nimejaribu microsoft bado haiko conclusive. Ninajaribu linux kuona kama itakubaliana na madai ya CMB.
 
Hizi picha bado zinafeli procedure yako.....hata hivyo ngoja nitumie laptop ya kazini ambao wana linux system (ambayo ndio ili-discover kuwa picha zako za mwanzo zimefanyiwa editing) ili ku-evaluate hizi picha.

Nitakujibu baada ya muda mfupi.

NO NO NO NO, Can anybody please try?

Mugongo Mugongo naomba unisaidie kuverify kwa upande wako. same as Nyani ....

Informaiton itakuja the same, ukitumia MAC. WINDOWS au LINUX

CMB

Thats Technical Knock out!

Tumempa evidence aliyoitaka. zingine hizi hapa chini
 
wengine ambao tuko Buguruni tunasubiri ushahidi wenu..Maana hatuna hiyo miundombinu.....all ears and eyes on JF!
 
No its not...ulisema the same thing ulipopewa reference kwa michuzi...inaonekana hufanyi homework zako mwenyewe.

Picha hizi zimefeli kwenye Mac system, nimejaribu microsoft bado haiko conclusive. Ninajaribu linux kuona kama itakubaliana na madai ya CMB.

So, the mjadala is over?
 
I have tried from my end imenipa taarifa ZOTE tarehe, saa nk.

Anabisha for the sake of it achaneni nae sasa...
 
I have tried from my end imenipa taarifa ZOTE tarehe, saa nk.

Anabisha for the sake of it achaneni nae sasa...

Good. sasa tusubiri tuone atasemaje tena. Picha ambazo sijafanikiwa kuweka mtanisamehe. lakini naona hizo nilizoweka zinatoshaa
 
Nilitoa example kwa picha za michuzi kwasababu hizi ambazo ninazo, ni kubwa alafu kupload ni MZOZO. Hizo ambazo niliweka kabla nilipunguza size ili niweze kuupload haraka.

Kama nilivyosema, nipo bongo, picha ya 500KB - 1040KB kupload ni tatizo, inachukua muda mrefu. hizo ambazo niliweka nilipunguza size ziwe ndogo, ndio nikaweza kuziweka ili uone

Zangu nitaweka, lakini kutoka katika mtandao wa JK. Picha sio zangu, ila ni kaitka mtandao mwingine kabisa naona na wao wameziweka FRESH kutoka kwenye CAMERA

Soo fanya the same ulivyofanya katika picha za michuzi na hizi picha hapa chini

Ok, system yangu imekubaliana na tarehe na muda uliotajwa. Hii ndio evidence niliyotaka uweke. Picha zako za mwanzoni zilikuwa hazitoi infor yoyote na zilionekana kama sio original au zimefanyiwa editing.

Nafurahi kuona kuwa umekubali hilo na kukubali kuwa hizi picha umeweka sasa sio zile za kwako uliweka mwanzoni.
 
...and hopefully mwk you have the last word in this debate. Should we move on?
 
wengine ambao tuko Buguruni tunasubiri ushahidi wenu..Maana hatuna hiyo miundombinu.....all ears and eyes on JF!

Yap mikuki, picha mpya zina information zote kama anavyodai. Ila zile za kwanza zilikuwa zimefanyiwa editing kwa hiyo ku-create doubt kubwa kuhusu usafi wake
 
So, the mjadala is over?

Mjadala ulikuwa juu ya Muhingo na Amina, mimi niliulizia kuhusu picha zako za mwanzo ambazo zilionekana sio original. Hizi za sasa kwa kweli ziko clear na ninazikubali. Kazi kwao walikuwa wanadai kuwa picha za mwanzoni zilikuwa conclusive.

Mjadala wa picha kwa sasa umeisha.
 
Mikuki,
Yesu alisema heri wale wanaoamini bila kuona. Hapa unaweza kuamini kauli za MWK. Tuendelee na mijadala mingine.
 
...and hopefully mwk you have the last word in this debate. Should we move on?

Ni kweli jasusi, kwa sasa tutamove on, CMB mwenyewe amekubali kuwa picha hizi mpya sio zile za kwanza (which means ameleta evidence mpya kama nilivyokuwa nadai all day long) na pia amekubali kuwa picha zake za kwanza alizifanyia some editingi kitu ambacho kilileta cloud kubwa sana kuhusu u-clean wa hizo picha.
 
Yap mikuki, picha mpya zina information zote kama anavyodai. Ila zile za kwanza zilikuwa zimefanyiwa editing kwa hiyo ku-create doubt kubwa kuhusu usafi wake

OK, Lets move on

Mjadala ulikuwa juu ya Muhingo na Amina, mimi niliulizia kuhusu picha zako za mwanzo ambazo zilionekana sio original. Hizi za sasa kwa kweli ziko clear na ninazikubali. Kazi kwao walikuwa wanadai kuwa picha za mwanzoni zilikuwa conclusive.

Mjadala wa picha kwa sasa umeisha.

Ya nimesema mwanzo kwamba, niliweka ndogo ili niweze kuupload haraka bila matatizo

...and hopefully mwk you have the last word in this debate. Should we move on?

Namini na wewe ume verify

SO GUYS LETS MOVE ON. Issue sasa ni AMINA na Muhigo
 
NO NO NO NO, Can anybody please try?

Mugongo Mugongo naomba unisaidie kuverify kwa upande wako. same as Nyani ....

Informaiton itakuja the same, ukitumia MAC. WINDOWS au LINUX

Tumempa evidence aliyoitaka. zingine hizi hapa chini

System ya linux kwenye computer yangu ya kazini imekuwa conclusive, ya microsoft haikuwa conclusive na ya mac kwenye my other computer ilikataa kutoa information kabisa. Ninaiamini linux na system ya kazini (maana ndio mwanzoni ilinionyesha kuwa picha zako za mwanzo hazikuwa original na zilikuwa zimefanyiwa editing) kwa hiyo nakubaliana na hii evidence ya sasa.

Kwa sasa umetoa evidence na nakushukuru sana kwa kujibu demand zangu......Nasisitiza kuwa evidence yako ya mwanzo ilikuwa very weak. Next time kuwa makini....kuna watu wanafatilia hizi issue kwa makini....ukidai kuwa unapicha direct kutoka kwenye kamera basi lazima hizo picha ziprove hayo au la sivyo utoe qualification kuwa picha zimefanyiwa editing na au sio zako kama ulivyofanya sasa.

Chiiiiazi.

Thanks
 
OK, Lets move on

haya yote ungefanya jana, baadhi ya watu wasingefikia hatua ya kuniita malaya hapa.

Ya nimesema mwanzo kwamba, niliweka ndogo ili niweze kuupload haraka bila matatizo

Asante kwa kusema hayo wazi....kazi kwa masatu na nyani waliokuwa wanapinga doubts zangu kukubali ukweli wa nguvu za mawasiliano kugundua changes kwenye original work

Namini na wewe ume verify

SO GUYS LETS MOVE ON. Issue sasa ni AMINA na Muhigo

Ikiwa hivi maisha yatakuwa rahisi sana. BTW next time I hope utakuwa muwazi zaidi. Dont take hii forum for a ride...mambo hapa ni hot.....Ninakiri kuwa jana kwa mara ya kwanza nilijisajiri hii forum ingawa nimekuwa naivist for a long time baada ya kuona matatizo kwenye picha zako na nikawa kwenye mission ya ku-reveal ukweli.
 
Ama kweli Jambo Forum kiboko!!! Heshima ya Forum mbele!!

Nimekubali...tungekuwa na hawa watu akina Nyani, MK, CMB and the rest wakati tunaisaini mikataba yakina Richmond..sijui hawa wazungu wangetupita wapi?oooooowwwwiiiiii!!!!!!!!!!!!!

Jasusi..na hilo ndo lilikuwa somo la juzi kanisani!!! Lakini, sasa mkuu ugumu unakuja pale EL na JK wanapotaka tutumie huo msamiati wa Yesu kwenye Maslahi ya nchi....itawezekana kweli?
 
Back
Top Bottom