Muhingo Rweyemamu on Amina's Death

Muhingo Rweyemamu on Amina's Death

Issue ya mwanakijiji inahusishwa vipi na watu wanaoshindwa kuleta evidence kuhusu madai yao?.....nasisitiza kuwa mkandara can talk for himself.....waongo na wazushi inabidi wakiri au walete evidence

Mwanakijiji kusahihisha makosa yake, Mkandara kuomba msamaha...speaks volumes on Mugongox2's track record.
 
No its not...ulisema the same thing ulipopewa reference kwa michuzi...inaonekana hufanyi homework zako mwenyewe.

Picha hizi zimefeli kwenye Mac system, nimejaribu microsoft bado haiko conclusive. Ninajaribu linux kuona kama itakubaliana na madai ya CMB.

Sasa unaleta visingizio....
 
Mwanakijiji kusahihisha makosa yake, Mkandara kuomba msamaha...speaks volumes on Mugongox2's track record.

CMB pia amekiri kuwa picha za jana hazikuwa original kama alivyodai napia kuwa alikuwa kazifanyia editing. Ameleta pia evidence mpya kama vile nilikuwa na-demand jana.

Kazi kwa muongo kuthibitisha au kukana madai ya mahusiano ya zito na Amina, na wewe kuthibitisha au kukana madai kuwa France haina presumption ya "innocence until proved guilty" ndio rekodi hii na volume yake viwe clear hapa.
 
So, what is the final verdict...? That CMB was right all along..? Mugongo was right all along...? Yours truly was right all along..?
 
Hazikuwa original in terms of what? Size? Picha ni zile zile alichofanya jana au juzi ni kuzipunguza size na ktk kufanya hivyo baadhi ya details na zenyewe zikawa ommited. Wewe ulikuwa unasema muda na tarehe kavitunga. Where is your apology mama? Woman up and apologize...
 
So, what is the final verdict...? That CMB was right all along..? Mugongo was right all along...? Yours truly was right all along..?

CMB amekubali kuwa picha za jana sio original toka kwenye kamera na muongo hajasema chochote kuhusu picha za jana ingawa pia bado hajathibitisha au kukataa madai kuwa Amina na Zito walikuwa na uhusiano. Wewe ulichukulia picha zile kama zilivyo na kutoa madai kuwa nilikuwa mzushi ku-question original work yake. Kazi kwako kuamua final verdict ni ipi hapa
 
Hazikuwa original in terms of what? Size? Picha ni zile zile alichofanya jana au juzi ni kuzipunguza size na ktk kufanya hivyo baadhi ya details na zenyewe zikawa ommited. Wewe ulikuwa unasema muda na tarehe kavitunga. Where is your apology mama? Woman up and apologize...

Naona unapenda huu mjadala uendelee, sijui ni wapi neno kutunga limetumika katika post zangu....baba una mambo wewe. Kubali tu kuwa picha za jana zilikuwa zinaonyesha kuwa sio original kila mara zikiwa evaluated. Mbona CMB kakiri hapa?

Mwenzako katoa evidence mpya, kazi kwako sasa kuclear madai yako na names zote ulizoniita sikunzima ya jana.
 
Nyani,

Naona una-enjoy makamuzi mkubwa wangu. Ha ha ha! Lakini ukikamua sana utam-stress out dada yetu, ata-procastinate kazi, shule, na kila kitu. This game is over. Ukweli siku zote hushinda watu wakiusimamia vizuri. Kazi ya kuusimamia tumeimaliza. Let us move on.
 
kusimamia ukweli kumepelekea CMB kukiri kuwa picha za mwanzo zilikuwa issues. Ameleta evidence zingine kama nilivyodemand. Kazi ya kusimamia ukweli itaendelea hapa for a while now.

Bado una issue ya madai yako kuhusu Zito na Amina. Ninasubiri evidence au retraction.
 
Unadhani watakujibu hawa.....wanajali kile kinafit context yao ya kufikiri. Kama AC angekuwa mwanaume....ungeona mambo yakiwa tofauti na yalivyo leo.

Be very careful with such statements, like one above. I hope nobody has an apetite to follow-up on this! This is an uncharacteristic extravagant statement from you!

Kikwete anakusubiri (kama ni mkweli) ukasimamie mikataba; tumechoka kuibiwa mali za wananchi wetu.
 
Ni kweli hiyo statement imekuwa generalized bila sababu. kwa kweli sitatoa general statement kama hiyo. Asante kwa kunote that.

BTW, Fuatilia issue ya AC vs mpakanjia uone tofauti ya treatment ya wanaume na wanawake katika jamii zetu. Sina cha kusema ila soma postings hapa for your own conclusions
 
Nakubaliana kwa kiasi kikubwa na hoja za Muhingo, japo nami najiuliza kutokana na historia yake amapata guts gani za kutamka kwamba mwenyekiti wake wa chama na katibu wake ni 'wamekufa'ni hatua kubwa kwa kada kutamka hayo! ama ana uchungu wa kukosa 'ukuu wa wilaya' alioahidiwa!ama amejirudi baada ya maumivu mengi aliyowasababishia wengine! Inashangaza pia kama alikuwa anawajua waliokuwa wakimtumia kijana wetu mpambanaji kama chambo cha mapambano dhidi ya madawa ya kulevya na kuamua kukaa kimya!Yawezekana na yeye ni muuaji pia! Tuache hayo!

Kifo cha kijana wetu kinatuachia maswali mengi yasiyokuwa na majibu! Mimi ni mmoja wa watu ambao nilikuwa nafuatilia hali ya amina,kujaribu kutafuta suluhu toka mapema, bila mafanikio!Nakumbuka mara ya mwisho kuzungumza na simu na amina ilikuwa na usiku ambao hakutokea kuzungumza na wanahabari. Lengo likiwa ni kufahamu kulikoni hasa ukuzingatia nilimshauri tokea mapema mara baada ya majira kutoa habari juu ya talaka yake kukaa kimya, nikijua kwamba akiongea tu waandishi watakuwa wamepata kwa kutokea! Mazungimzo yetu yalinipa picha kwamba kijana wetu hakuwa vizuri! kwa ufupi alikuwa haeleweki anaongea nini kabisa! Kitu alichonijibu ambayo ilikuwa ni kauli yake ya mwisho kwani baada ya hapo simu yake ikawa haipatikani tena ni kwamba 'amewasiliana na ubalozi wa marekani, na ubalozi husika umemwambia kwamba watarusha live toka kwao kile ambacho ilikuwa akakieleze maelezo'Nilishtuka! Siku mbili baadae baada ya kutokumpata kabisa kwenye simu nilifunga safari mpaka kwao, lengo likiwa ni kumjulia hali na kutaka kusaidia..hatukuruhusiwa kuingia ndani,tukaambiwa amina hayupo- nilijua nadanganywa,nikawa sina jinsi! Ikanilazimu nitafute namba ya mdogo wake , nikawa namshauri wampeleke hospitali! Nakumbuka nilikuwa namwambia mara kwa mara mkicheza amina atakufa!Ilifikia hatua nikawatafutia daktari wa mambo ya depression na psycholigy!hawakuhangaika nae kabisa, walikuwa busy na waganga wakiamini kabisa binti yao amelogwa! Kibaya zaidi wale mabinti wadogo hawakuwa na sauti kwao! Mpakanjia alikuwa na sauti!

Amina amekuja kupelekwa hospitali akiwa kwenye koma, mwili wake ukiwa umebadilika rangi kabisa!Nilifanikiwa kuongea na Mhe. mmoja ambaye yasemekana alikuwa mshauri wake wa karibu, aliniambia alipotea kitanda na kumpita amina! alikuwa mweusi Tii! sio rangi yake, kumbe cell zinazorutubusha ngozi ya bindamu zilikuwa zimeshakufa! Kwa kweli inasikitisha sana!

Jambo ambalo nakuwa nimejiuliza kwa kipindi kirefu!Hali ya Amina ilikuwa inajulikana fika na serikali, kwa nini wazazi wake hawakulazimishwa wampeleke hospitali? Tunajua kabisa Mzee Chifupa ni kada wa chama, chama kingetoa amri lazima angetii, kwa nini chama kiliamua kukaa kimya? Je waliamua kumtoa kafara sababu tu watu aliokuwa akiwazungumzia ndio wanaoongoza kwa kukichangia chama katika kampeni za uchaguzi? au kwa kuwa na baadhi yao wao wanauza? Ni mara ngapi tumekuwa tukishuudia viongozi wenye mafua wakienda tibiwa nje ya nchi? Yaani Amina walikuwa hawajui? Na hawa wabunge wa CCM na manaibu mawaziri(UVCCM) ambao walipeleka umbea kwa mpakanjia (baadhi yao ilikuwa inasemekana walikuwa na uhusiano na amina)kulikopelekea msongo wa mawazo hata kufa kwa amina wamechukuliwa hatua gani?

mimi daima huamini malipo ni hapa hapa duniani! Najua mtanikebehi!anayeua kwa upanga , naye atakufa kwa upanga!
Amina ametangulia, sote tutamfuata!

Muhingo, 2010 endelea kuwa mtakatifu, utakatifu ambao umeanza kuuonyesha kwa Amina!
 
Kwani wakati wote akiwa mgonjwa Lowassa hakwenda kumtembelea kama alivyomtembelea Kayombo? au Amina aliwakosea nini hasa hadi wasubiri wakati wa rambirambi?
 
Bi. senti 50,
Tunasubiri wenye data zenye ushahidi hapa!... yaonyesha wazi hakuna mtu aloweza kumwona marehemu akiwa hai toka viongozi hadi watu wa kawaida isipokuwa ndugu zake!....
Mnyalu - be careful! maanake swali hili sio rahisi hivyo ndugu yangu. Hili ni fumbo ambalo halitakiwi kuzungumziwa kabisaaa! - Though something is very very wrong!
 
Kwani wakati wote akiwa mgonjwa Lowassa hakwenda kumtembelea kama alivyomtembelea Kayombo? au Amina aliwakosea nini hasa hadi wasubiri wakati wa rambirambi?

Mengi yamezungumzwa hapa JF kuhusu yaliyomsibu AC; lakini hata mara moja hili swali halikuulizwa hadi sasa. Au, kama liligusiwa, halikupewa uzito uliostahili.

Hali hii inazidi kuongezea utata. Sio rahisi kuamini kuwa viongozi walishindwa kwenda kumwona kwa sababu ya jinsia yake tu; kwani hao viongozi wenzake wanawake walijitokeza kwenda kumpa pole nyumbani kwake au hospitali?
Sasa fikiria mgonjwa wa kisukari na malaria, kuna shida gani ya kwenda kumpa pole mgonjwa kama huyo? Hata kiongozi mmoja tu hakuna? Au wapo waliokwenda kama akina Makamba, n.k. ambao hawakuwa na uzito kiasi cha hata vyombo vya habari visiseme kitu?

Mambo yanazidi kuwa mazito kuhusu janga hili.
 
Hivi wabunge wanatakiwa kugharimiwa na serikali wanapougua na wanayo check up nje ya nchi mara moja kwa mwaka? Vipi Amina alipewa haki hiyo au ni kwa ajili ya Manaibu Waziri tu, Akukweti, na Kayombo?
 
Back
Top Bottom