Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

Hebu niletee aya ya Quran inayosema
Hii ya Ibilisi kuumbwa kwa moto.

Alaf urudie kusoma Quran 18:50.
Msisitizo weka pale Allah aliposema
"Na tulipowaambia Malaika, msujudie Adam....

Alaf Shetan akakataa..
" hapa shetan amehusikaje?.
Hujaambiwa shetani umeambiwa Ibilis alikataa na baada ya kukataa ndo akawa shetani
 
Kumbuka hapo Ibilis alikuwa bado hana sifa ya uovu yaani hakuwa shetani

Hii ni Summary ya ulivyoongea huko juu.

Shetan alikuwa malaika.
Kabla ya kuasi.

Majini /pepo / shetan wote ni Malaika walioasi.

Alaf kuna Majini /pepo wameshaslim na kukubali quran ya allah 😂😂😂😂

Na wengne bado maana hawajasikia quran na wako pamoja na Kiongoz wao Ibilisi.

Na kwasababu ni mapepo wabaya . Huwa wana waingilia Watu.
(Na pia hayo mapepo yana majina ya Kiislam😂😂😂 )
Ila sio waislam.
Maana wale mapepo wazur hawawaingilii watu.

Hii ni according na ww Al-mukheef .
 
We kuwa serious bhana wapi nimesema shetani alikuwa malaika 🤣🤣🤣
Halafu mbona unachagua post za kujibu nyingine nikikuuliza huzijibu 😃

Ntazijibu hizo.

Mm hoja yangu ni kuonyesha kuwa Quran ni kwa ajili ya Watu, majini na mashetan.

Msisitizo na focus uko hapa.
 
Alaf kuna Majini /pepo wameshaslim na kukubali quran ya allah 😂😂😂😂

Na wengne bado maana hawajasikia quran na wako pamoja na Kiongoz wao Ibilisi.

Na kwasababu ni mapepo wabaya . Huwa wana waingilia Watu.
(Na pia hayo mapepo yana majina ya Kiislam😂😂😂 )
Ila sio waislam.
Maana wale mapepo wazur hawawaingilii watu.
Sijawahi kutaja neno pepo kwenye uzi huu
Anyway,ni kweli nilisema wale majini waliosilimu ni waislam na kinyume chake ni mashetani na sio kwamba hawajaisikia ila wameamua tu kama wafanyavyo binadamu
 
Hapa inaonesha Ibirisi mwanzo alikuwa Jini

[ AL - KAHF - 50 ]
Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! Walimsjudia isipo kuwa Iblisi.
Yeye alikuwa miongoni mwa majini, na akavunja amri ya Mola wake Mlezi. Je! Mnamshika yeye na dhuriya zake kuwa marafiki badala yangu, hali wao ni adui zenu? Ni ovu mno badala hii kwa wenye

Hapa inaonesha Ibirisi mwanzo alikuwa Malaika
T'AHA - 116 ]
Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! Wakasujudu, isipo kuwa Iblisi, alikataa.

Kutokana na hizo Aya bado sijaelewa Ibiri mwanzo alikuwa Jini au Malaika:
Au vyote yaani Majini ndio Malaika
 
Hapa inaonesha Ibirisi mwanzo alikuwa Jini

[ AL - KAHF - 50 ]
Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! Walimsjudia isipo kuwa Iblisi. Yeye alikuwa miongoni mwa majini, na akavunja amri ya Mola wake Mlezi. Je! Mnamshika yeye na dhuriya zake kuwa marafiki badala yangu, hali wao ni adui zenu? Ni ovu mno badala hii kwa wenye

Hapa inaonesha Ibirisi mwanzo alikuwa Malaika
T'AHA - 116 ]
Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam! Wakasujudu, isipo kuwa Iblisi, alikataa.

Kutokana na hizo Aya bado sijaelewa Ibiri mwanzo alikuwa Jini au Malaika:
Au vyote yaani Majini ndio Malaika
Ibilis ni jini mpaka leo na hajawahi kuwa malaika
 
Ntazijibu hizo.

Mm hoja yangu ni kuonyesha kuwa Quran ni kwa ajili ya Watu, majini na mashetan.

Msisitizo na focus uko hapa.
Sema watu na majini maana mashetani ni watu waovu na majini waovu
Hapo viumbe ni viwili tu
 
Mkuu tuheshimiane bhana yaani mimi niseme kuwa kuna malaika wameasi na kuwa mapepo 🤣🤣🤣

Hii aya Quran 2:34
"Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam, wakamsujudia wote isipo kuwa Iblis, alikataa...."

Na hapa uliposema kuwa Shetan hakuwa kiumbe
Alikuwa ni mwema
Kumbuka shetani maana yake ni muovu na sio kiumbe fulani

Ipo haja ya kujibu hili la ndugu yangu che-mittoga ili tuwekane sawa katika tafsiri.👇

Alikuwa mwema katika hadhi ipi?
Ua alikuwa Malaika kabla ya kuwa shetani:
Au alikuwa Jini ?
 
Ibilis ni jini mpaka leo na hajawahi kuwa malaika
Sasa inakuwaje Allah awaambie Malaika wamsujudie adam na wanatii halafu adhabu anapewa Jini ya kuto msujudia Adam:

Ni wapi Jini ibirisi aliambiwa amsujudie Adam ? (hadi aka adhibiwa kwa kuikaidi amri)

T'AHA - 116 ]
Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam!
Wakasujudu, isipo kuwa Iblisi, alikataa.
 
Sasa inakuwaje Allah awaambie Malaika wamsujudie adam na wanatii halafu adhabu anapewa Jini ya kuto msujudia Adam:
Ni wapi Jini ibirisi aliambiwa amsujudie Adam ?

T'AHA - 116 ]
Na tulipo waambia Malaika: Msujudieni Adam!
Wakasujudu, isipo kuwa Iblisi, alikataa.
Kwa sababu alikuwa pamoja nao na anri ilipotoka ilisema "msujudieni Adam"
Na hapo aya inasema ila Ibilis alikataa na yeye alikuwa ni miongoni mwa majini
 
Shetani anaweza akawa mtu au jini lakini usitarajie kuwa kuna aina ya kiumbe anaitwa shetani

Kumbe uko serious uliposema Shetan sio kiumbe.

Kwahiyo kote kwenye Quran. Inaposemwa Shetan ina maanisha mtu muovu au Jini muovu.

Hebu Tuanzie hapa.
Au iweke kwa tafsiri nyingne pia iki ueleweke.

Shetan ni yule Mtu au Jini muovu.
Si ndio?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom