mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 46,509
- 57,506
Hauwezi kuacha kuwa muislam eti Kwa sababu kwenye Quran hakuna maana ya Jina Israel.hayo yatakuwa matatizo yako.Haya nipe maana ya Neno ISRAEL kwa mujibu wa Quran
Ukinipa Leo nakuwa muislamu na nitaenda mecca kubusu jiwe jeusi