Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

Muhamad pekee ndiye aliyeweza msilimisha Shetani

Sitaki porojo ,

YESU KASEMA WOKOVU UNATOKA KWA WAYAHUDI

WEWE UNASAMA SIO NENO SAHIHI

HIVI KWANINI MNAPENDA UPOTOSHAJI?

KWAHIYO WEWE UNAMZIDI AKILI YESU ALIYESEMA NENO "WAYAHUDI"?
YAHUDI NI NANI KWA MUNGU?.. MUNGU ANAMTAMBUA MUISRAELI kama uelewi basi nikikuuliza utoi majibu
 
Sitaki porojo ,

YESU KASEMA WOKOVU UNATOKA KWA WAYAHUDI

WEWE UNASAMA SIO NENO SAHIHI

HIVI KWANINI MNAPENDA UPOTOSHAJI?

KWAHIYO WEWE UNAMZIDI AKILI YESU ALIYESEMA NENO "WAYAHUDI"?
Hapo yesu anasema uokovu unatoka Kwa wayahudi.cha ajabu wayahudi wenyewe HAWAMKUBALI YESU🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.yaani yesu anajipendekeza Kwa wayahudi
 
Kwakuwa umekiri mwenyewe kuwa QURAN imeiba na HAIFAI kuwa REJEA kwa mwanadamu maana imeiba maneno ya kiyahudi na haijui maana zake ,basi sasa unafanya nini kwenye hiyo dini ?
Mpaka uniambie Leo.yakobo ALIMPIGA VP MUNGU?
 
Umeandika lugha gani ? Hicho si kiswahili
Nani kanishika pabaya ....UYAHUDI NI ITIKADI KALI ZA KIDINI AMBAZO MSINGI WAKE NI POTOVU ...Siyo Mungu alio uamrisha bali ulianzishwa na UOVU WA KIBURI CHA KIDINI...ndiyo maana wayahudi ndiyo walio mpinga sana Yesu na kumuua na kuipinga INJILI
 
😂😂😂😂😂😂 hawa wanaomfuata Yesu tuwaiteje?.
Yesu yupi wanayemfuata ? Yesu Hakula kitimoto wao wanakula, Yesu alimwomba Mungu, wao wamemgeuza Yesu kuwa Mungu. Yesu alisali kwa kuweka kipaji cha uso ardhini wao hawafanyi. Yesu aliinga kwenye msikiti wao wanaingia kanisani
 
Wametafsiri kina nani kwa msingi upi ?

Israel ni muunganiko wa maneno mawili

ISRA na EL

Ni maneno ya kihebrania na yana maana yake

Sasa unaposema wametafsiri wanazuoni ,kwa misingi ya lugha ipi nje ya kihebrania
Mungu akampiga yakobo kwenye mapumbu😃😃😃😃.hii dini KIBOKO.
 
Kitabu cha Siri ya Majini UK. 20 kimeandika kwa lugha ya Kiswahili rahisi, kimeeleza hivi:

“Tangu mwanzo, shetani amekuwa adui wa wanadamu. Adam na Hawa walijaribu kumpinga, lakini hawakumuweza kumsilimisha. Mitume wote waliokuja baada yao walipambana naye, lakini walibaki wakidanganya na kushawishiwa na shetani. Ila ni Mtume Muhammad pekee ndiye aliyeweza kumsilimisha shetani wake, na akawa shetani wake hakumwongoza ila kwenye mambo ya kheri.”

Shetani alisilimishwa na Muhamad na akawa ana mwongoza katika "mambo ya kheri"
Siyo shetani ndo alimsilimisha Muddy 🤔, by the way kumbe shetani ni muislam 🤣🤣🤣🤣 ndo maana mdudu hawafai, maana yule mdudu ni kiboko ya mashetani
 
Hapo yesu anasema uokovu unatoka Kwa wayahudi.cha ajabu wayahudi wenyewe HAWAMKUBALI YESU🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣.yaani yesu anajipendekeza Kwa wayahudi
Usikimbilie ya mwenzako ,wewe swali lako imekubali QURAN HAIFAI na imeiba maneno ya kiyahudi,

Aliyekwambia wayahudi hawamkubali yesu nani?

Ni baadhi,mitume wenyewe ni wayahudi ,injili imesambazwa na wayahudi akiwepo Paulo ,

Wewe jibu swali lako ,usiparamie usiyoyaweza
 
Sitaki porojo ,

YESU KASEMA WOKOVU UNATOKA KWA WAYAHUDI

WEWE UNASAMA SIO NENO SAHIHI

HIVI KWANINI MNAPENDA UPOTOSHAJI?

KWAHIYO WEWE UNAMZIDI AKILI YESU ALIYESEMA NENO "WAYAHUDI"?
Tunaendelea kuhusu hii hoja ..Tunakwenda kwenye kuzaliwa kwa Yesu.....👉Yesu alizaliwa katika Bethlehemu ya UYAHUDI ...maandiko yanesema 👉watu wale walio kaa katika GIZA KUU nuru imewaangazia ....sasa tunaona maandiko yanasema WAYAHUDI NI GIZA KUU YAANI WALIKUWA GIZANI .... huo ni ushahidi kuwa wokovu ulitoka kwa wayahudi kuwa nuru dhidi ya uyahudi hivyo uyahudi aukutajwa hapo kama jina jema
 
Usikimbilie ya mwenzako ,wewe swali lako imekubali QURAN HAIFAI na imeiba maneno ya kiyahudi,

Aliyekwambia wayahudi hawamkubali yesu nani?

Ni baadhi,mitume wenyewe ni wayahudi ,injili imesambazwa na wayahudi akiwepo Paulo ,

Wewe jibu swali lako ,usiparamie usiyoyaweza
Hakuna myahudi YEYOTE ANAYEMKUBALI YESU walimkataa watamkataa mpaka sasa wanamkataa.ndo maana wayahudi HAWALIKIBALI AGANO JIPYA AMBALO limeandika habari za yesu wao wanatumia taurati ambayo wameiiba kutoka kwa MUSA MLAWI.acha kupototosha watu
 
Tunaendelea kuhusu hii hoja ..Tunakwenda kwenye kuzaliwa kwa Yesu.....👉Yesu alizaliwa katika Bethlehemu ya UYAHUDI ...maandiko yanesema 👉watu wale walio kaa katika GIZA kuu nuru imewaangazia ....sasa tunaona maandiko yanasema WAYAHUDI NI GIZA KUU YAANI WALIKUWA GIZANI .... huo ni ushahidi kuwa wokovu ulitoka kwa wayahudi kuwa nuru dhidi ya uyahudi hivyo uyahudi aukutajwa hapo kama jina jema
Jibu swali ,SITAKI HIZO POROJO

YESU KASEMA WOKOVU UNATOKA KWA WAYAHUDI

WEWE UNASEMA SIO NENO SAHIHI

YAANI WEWE UNAONA SAHIHI KWAMBA YESU ALIKOSEA?

HIVI KWANINI MNAPENDA UPOTOSHAJI?

KWAHIYO WEWE UNAMZIDI AKILI YESU ALIYESEMA NENO "WAYAHUDI"?
 
Hakuna myahudi YEYOTE ANAYEMKUBALI YESU walimkataa watamkataa mpaka sasa wanamkataa.ndo maana wayahudi HAWALIKIBALI AGANO JIPYA AMBALO limeandika habari za yesu wao wanatumia taurati ambayo wameiiba kutoka kwa MUSA MLAWI.acha kupototosha watu
Wewe UMEKUBALI QURAN IMEIBA,sasa hivi unadandia mada NYINGINE 😂😂😂

Mitume wote wayahudi, Paulo alikuwa myahudi,

Leo Kuna Messianic Faith unawajua 😂😂

Wewe UMEKUBALI QURAN IMEIBA MANENO YA WATU,unabakije kuwa muislamu? Unajiteteaje hapa
 
Bado ngumi zile za YAHWEH NA YAKOBO 🤣🤣🤣🤣
Kwahiyo UMEKUBALI QURAN IMEIBA MANENO YA WATU

Hivyo ndio uislamu ulivyo ni dini ya mchongo

Kitu kama hiki kinatakiwa kikufanye uachane na uislamu
 
Kwahiyo UMEKUBALI QURAN IMEIBA MANENO YA WATU

Hivyo ndio uislamu ulivyo ni dini ya mchongo

Kitu kama hiki kinatakiwa kikufanye uachane na uislamu
Mungu mwenyewe dhaifu anachezea mmakonde ya MJA wake Kuna Mungu hapo😃😃😃
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom