Mubashara: Sahara media warudi hewani

Kuna watu mmeumia sana sahara kurejea hewani mtakufa na vijiba vya roho mbaya watu tulikuwa tumekoswa radio ya kusikiliza vipindi moto moto
hujaelewa mtoa post anamaanisha nini? Serikali kupitia TRA iliutangazia umma kwamba Sahara Media wanadaiwa shs 4.5b malimbikizo ya kodi hivyo wanafungiwa hadi walipe. Kwa mwenye akili timamu anayejitambua lazima ahoji/ajihoji mbona walewale hawajatangaza kwamba deni limelipwa lote au kiasi gani au kuna makubaliano gani. Hivi wewe hutaki kujua hili? Kujiamini kulekule walipotangaza kufungia, pia watangaze kuifungulia na sababu waitaje
 
MKuu unaweza kwenda TRA kuuliza swali lako maana hapa tutabaki kukisia tu.
 
Point mkuu
 
hulka ya mwanadabu ni ubinafsi hivyo akiona mwenzake alieanzisha kitu kinakufa yeye anafurahia.....hivyo sishangai kuona hata watu wakikasirika kwanini imerudi hewani na kwa wale wapenda maendeleo kufurahia kwakua kuna watanzania wangepoteza ajira zao huku wakitegemewa na watu kibao nyuma yao.
 
Hivi ukisoma ulichoandika mwenyewe unaelewa?
 
Aisee ni kweli kabisa, Dialo hawezi kupata shida shida ni hawa wafanyakazi wa Sahara Group.
 
Utamtaka wewe na njaa zako kama hizo media, huyo mange Kimambi aliye surrender ni wa chato au wapi....au hiyo page unaona peke ako yako tu....[emoji2] [emoji2]

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu una maana Mange Kimambi bado anapayuka huko US kuhusu Bashite? Maana alianza kuomba michango ya MAZUZU baada ya wale wauza madawa ya kulevya kupunguza ufadhili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…