Hata kama Amechaguliwa kama Yeye ni Mtanzania au sio Mtanzania. Je ataitangaza Tanzania au hataitangaza. Wake up. Achenui mambo ya kukarirri zama hizi Ubunifu ndio unatakiwaq. Hapo TANAPA wangejkuwa Sharop nao wangemtumia Huyohuyo Diamonda kujitangaza. Lakini wakifikiria mam=]neno km yenu haya wanarudi nyuma.AFCON hawachagui nchi kutumbuiza ufunguzi. Kwa hiyo NASIB amechaguliwa yeye kama yeye ila kwa kuwa Taifa halina timu inayoshiriki ikabidi wadandie hapo. Hakuna jinsi!
Mkuu naunga mkono hoja kupewe bendera c tatizo bali 4 what kwan je amekwenda kwa state interest au personal one tuanzie hapo kujenga hojaGo slowly my dear princess ariana!
Unaposema Bendera ni bendera tu?.Iwe ya michezo au burudani?. Are you serious?.Dou you know what are you talking about?.If yes why ask for that?.If not why dont you ask?.
Kama Bendera ni bendera ni kwanini haipo katika ofisi za WCB?.
UNAPOSEMA NDIO MJIFUNZE KUWA DIAMOND NDIO ICON YA TAIFA una maanisha nini?.Icon maana yake nini?.Dadavua kidogo.
There are alot of things we need to know Exactly about it.Siyo kuona Bendera kama kitambaa chenye rangi rangi,Lugha kama mawasiliano,Dini kama Imani,Olimpiki kama michezo nk.
I stand to be corrected,princess ariana.
Thank you mr.Mkuu naunga mkono hoja kupewe bendera c tatizo bali 4 what kwan je amekwenda kwa state interest au personal one tuanzie hapo kujenga hoja