Mtumbuizaji kupewa bendera ya Taifa!

Mtumbuizaji kupewa bendera ya Taifa!

Tufuatilie TV siku ya ufunguzi tuone kama atajifunika bendera yetu kabla au baada ya kutumbuiza.
 
AFCON hawachagui nchi kutumbuiza ufunguzi. Kwa hiyo NASIB amechaguliwa yeye kama yeye ila kwa kuwa Taifa halina timu inayoshiriki ikabidi wadandie hapo. Hakuna jinsi!
naelewa hilo mkuu ndio maana nimesema Nasibu kapewa mkataba(kandarasi) serikali imedadia treni kwa mbele
 
poa kupitia comments zako nimejifunza kitu!
mapumziko mema mkuu
Nashukuru mkuu,humu tunaelimishana na kukosoana wengi walidhani.nmdharau Nasib,ra hasha.nalia na waziri.
 
Toa hoja ww acha kurukaruka kama unaakil toa sabab za kusapot hoja hii
Makala jr
nimecheki cv yako na yangu humu jf ni kama mbingu na Dunia tunavyotofautiana.tuishie hapo.inatosha
 
Iv mmeambiwa Mond ni Mkenya au Mganda!Acha aitangaze nchi Nape sion kosa lake alopewa Bendera ni mtanzania wakulaumiwa ni TFF sivinginevyo najua wengi umu bifu la Kiba na Mond ndolinawasumbua.Muache kijana akatangaze nchi .
 
Makala jr
nimecheki cv yako na yangu humu jf ni kama mbingu na Dunia tunavyotofautiana.tuishie hapo.inatosha
What is cv when you are discussing issue which requires brain wat is matter is how you can defend your argument. So you want me to be scared of you since you have great cv. Nonsense!
 
What is cv when you are discussing issue which requires brain wat is matter is how you can defend your argument. So you want me to be scared of you since you have great cv. Nonsense!
i have presented my case wise people have understood.if you cant comprehend is non of my damn business imbecile.
 
Wivu wa nini, Diamond anafanya kitu ambacho Taifa Stars wameshindwa so muache avae bendera
 
Huyu mtoa mada ana wivu wa ajabu sana iyo bendera ali kiba alivyoikalia kule S.A mliongea wivu wenu atapunguza chochote zaidi ya kupoteza muda tu kwa mambo yasiyo faa kujadiliwa kama imekuuma sana kamnyanganye sawa
 
You are Absolutelly right Mkuu BOB LUSE.

Ulichokiandika kina mapana yake na ni suala nyeti la kulijadili sote kwa pamoja kwa Maslahi mapana ya Jamii na hata Taifa kwa Ujumla.

Bendera ya Taifa ni Moja kati ya Nembo za Taifa.Kisheria ina taratibu zake,ie siyo kila sehemu pa kuweka Bendera ya Taifa,Zipo sehemu maalum za kupeperushwa.

Huwa napenda ukweli,Napenda usahihi na sipendi maisha ya mazoea kwenye sheria.Na sipendi mtu fulani ajione bora dhidi ya mtu mwingine.WE ARE ALL EQUAL AND NO ONE IS ABOVE THE LAW.

Mtu anashinda U-miss hapa nchini there after anakwenda kushiriki huo u-miss nje huku kakabidhiwa Bendera ya Taifa.Yaani anakwenda kutembea mbele za watu Nusu uchi kwa kigezo cha kumpata mlimbwede bora kuliko wote huku kashikilia Bendera ya Nchi ilhali kila Jamii,Kabila,Taifa ina sifa zake za kumpata mlimbwede wake.Then tukihoji tunaambiwa UHURU wa soko huria,Mara utandawazi na mambo mengine yanayofanan na hayo.Hivi kweli huu siyo Ukoloni/Utumwa mamboleo?.

Mleta mada umeuliza jambo la msingi sana.Inabidi tulijadili kwa mapana yake huku Ushabiki ukiwa pembeni kabisa kwa maslahi mapana ya Taifa.
Mkuu nakubaliana na wewe,jana wakati anakabidhiwa bendera nilikuwa nimekaa na watoto wangu sebuleni,wakaniuliza mbona shuleni tumesoma kwamba bendera ya Taifa inapatikana kwenye offisi ya Rais,police,office ya mkuu mkoa,Wilaya,Bunge na mahakama na hawa ni watoto wapo darasa la nne,wakashangaa wakasema kumbe hata kumbe bendera naye Diomond inapatikana kwake? ilibibidi nicheke
 
AFCON hawachagui nchi kutumbuiza ufunguzi. Kwa hiyo NASIB amechaguliwa yeye kama yeye ila kwa kuwa Taifa halina timu inayoshiriki ikabidi wadandie hapo. Hakuna jinsi!
Hapana, Diamond ni mtanzania. Anakwenda nje ya nchi, hawezi kwenda yeye kama yeye tu mkuu. Ni raia wa Tz, tena icon... hata balozi kama yupo atahitajika kulijua hilo.

Kuna watu hawalijui hili taifa, wanaambiwa mlima Kilimanjaro upo Kenya wanaamini tu, Afcon itatazamwa karibu dunia nzima, kwa kila mmoja na sababu zake, washabiki wa kabumbu, mawakala nk. Unadhani kwa wasioijua bendera yetu hawataifuatilia? Wakiifuatilia watayaona mangapi hapo?

Ni jukumu la kila mwananchi kuitangaza nchi yake ktk hali na kipawa chochote kile alichonacho. Big up diamond, big up Nape, na Mungu ibariki Tanzania. Si lazima football bana, siijui Jamaica kwa kabumbu mie bali Bob Marley.
 
kwani kampa akacheze mpira?
bendera ni bendera tu!
iwe ya michezo au burudani.

ndio mjifunze kuwa diamond ndio icon ya Taifa
kakabidhiwa bendera iwe fundisho kwa Taifa stars, kuwa wajitambue
maana bendera ya michezo wamepewa burudani ,kumanisha Taifa stars ni sikio LA Kufa.... ujumbe wao nadhani wameupata kiutu uzima.
point
 

Kwasababu,Diamond hata akipewa bendera ya Taifa na akapata fedha itatusaidia nn sisi zaidi ya kuongeza wanawake na kuharibu bikra za mabinti zetu.
Kupombeka na kuongeza ngono na dhambi mchini ndio maana mvua hainyeshi!

Angalia sehemu ilipopigwa fiesta mabukizi ya HIV yamepanda,alafu watu hawana haya!
 
Mkuu nakubaliana na wewe,jana wakati anakabidhiwa bendera nilikuwa nimekaa na watoto wangu sebuleni,wakaniuliza mbona shuleni tumesoma kwamba bendera ya Taifa inapatikana kwenye offisi ya Rais,police,office ya mkuu mkoa,Wilaya,Bunge na mahakama na hawa ni watoto wapo darasa la nne,wakashangaa wakasema kumbe hata kumbe bendera naye Diomond inapatikana kwake? ilibibidi nicheke
Ukawajibuje wanao? Ungewaambia anakwenda nje ya nchi kuiwakilisha nchi yetu kupitia sanaa yake ya uimbaji. Tena anaweza akaimba wimbo wa salome au kitololondo, pure utanzania hapo. Hatoiweka tu nyumbani kwake.
 
Back
Top Bottom