Dahafrazeril
JF-Expert Member
- Jul 28, 2015
- 1,500
- 2,059
kwani kampa akacheze mpira?
bendera ni bendera tu!
iwe ya michezo au burudani.
ndio mjifunze kuwa diamond ndio icon ya Taifa
kakabidhiwa bendera iwe fundisho kwa Taifa stars, kuwa wajitambue
maana bendera ya michezo wamepewa burudani ,kumanisha Taifa stars ni sikio LA Kufa.... ujumbe wao nadhani wameupata kiutu uzima.
Go slowly my dear princess ariana!
Unaposema Bendera ni bendera tu?.Iwe ya michezo au burudani?. Are you serious?.Dou you know what are you talking about?.If yes why ask for that?.If not why dont you ask?.
Kama Bendera ni bendera ni kwanini haipo katika ofisi za WCB?.
UNAPOSEMA NDIO MJIFUNZE KUWA DIAMOND NDIO ICON YA TAIFA una maanisha nini?.Icon maana yake nini?.Dadavua kidogo.
There are alot of things we need to know Exactly about it.Siyo kuona Bendera kama kitambaa chenye rangi rangi,Lugha kama mawasiliano,Dini kama Imani,Olimpiki kama michezo nk.
I stand to be corrected,princess ariana.