BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
Nawasalimu wakuu,
Katika pitapita yangu leo nimeona picha Waziri NAPE akikabidhi bendera kwa ndugu yetu Diamond ambaye amepata kandarasi ya kutumbuiza kwenye Uzinduzi wa mashindano ya mpira ya AFCON.
Hivi uwakilishi tunaoutaka kama taifa ni wa Mwenzetu mmoja kutumbuiza kwa mda wa saa moja au tunahitaji timu bora itakayoshiriki kwenye medani hizo?
Waziri amefanya jitihada zipi kwamba tunapata uwakilishi wa kushiriki soka huko toka akalie kiti? pia nchi zingine zinafanya kama alichokifanya NAPE?
Ni mtizamo wangu kwamba we should aim higher, i stand to be corrected please.