Una mawazo mazuri lakini waziri hawezi kuifanya timu ya taifa ikapata uwakilishi kwenye mashindano hayo. Serikali imetengeneza mazingira ya viwanja. Usimamizi wa timu na wachezaji sio wa serikali bali ni wadau wa michezo. Kwa hiyo Serikali imetekeleza majukumu yake kilichobaki ni viongozi wa soka na wadau. Diamond kama msanii anafahamika kuwa anatoka Tanzania na ameing'arisha nchi kuliko wasanii wengine. Kama ameonekana AFCON ni juhudi zake binafsi ndizo zimemfanya aonekane. Kuna wanamuziki wengi sana Tanzania lakini wakishapata umaarufu kidogo wanaanza kuingia kwenye bifu. Wanaanzisha ugomvi ambao hauna maana. Kuna mtu mmoja nilimsikia akisema diamond ni mfanya burudani lakini sio mwanamuziki. Kwa kauli hiyo ni lazima huyu mtu atakuwa anafikiria diamond ashuke ili yeye apande.Nawasalimu wakuu,
Katika pitapita yangu leo nimeona picha Waziri NAPE akikabidhi bendela kwa ndugu yetu Diamond ambaye amepata kandarasi ya kutumbuiza kwenye Uzinduzi wa mashindano ya mpira ya AFCON.
Hivi uwakilishi tunaoutaka kama taifa ni wa Mwenzetu mmoja kutumbuiza kwa mda wa saa moja au tunahitaji timu bora itakayoshiriki kwenye medani hizo?
Waziri amefanya jitihada zipi kwamba tunapata uwakilishi wa kushiriki soka huko toka akalie kiti? pia nchi zingine zinafanya kama alichokifanya NAPE?
Ni mtizamo wangu kwamba we should aim higher, i stand to be corrected please.
Umenenakwani kampa akacheze mpira?
bendera ni bendera tu!
iwe ya michezo au burudani.
ndio mjifunze kuwa diamond ndio icon ya Taifa
kakabidhiwa bendera iwe fundisho kwa Taifa stars, kuwa wajitambue
maana bendera ya michezo wamepewa burudani ,kumanisha Taifa stars ni sikio LA Kufa.... ujumbe wao nadhani wameupata kiutu uzima.
Umechemka mkuu.lazima kuwe na tofauti.unampa bendera anayeenda kushindana au kusherehesha?(entertainment)Ninaposema Bendera ni Bandera tu!
namaanisha bendera ya Tanzania in bendera tu,Kama ilivyo, Muwakilishi yoyote wa Tasnia yoyote kutokaTanzania atapewa bendera Kama Bendera ya Tanzania, nikimaanisha kuwa bendera haigawanyiki katika nyanja yoyote,kwamba burudani wana bendera yao, Miss Tanzania wana yao, Waogeleaji wana yao, Hapana! namaanisha bendera ni bendera tu tofauti ni Mwakilishi
Kwahiyo kupewa Diamond Bendera ambayo wangepewa Taiga Stars hakuna ubaya!
kwasababu kila MTU Ana anachowakilisha...
Mwenye mchango katika Taifa kimataifa, kukabidhiwa Bendera sio vibaya,haijalishi nini anafanya.
Lakini ndio wenye mafanikio kukuzidi weweHiki kizazi cha wakata viuno na wavaaa jeans-vimodo wanaua nchi
Nahisi atalalie wakati wa kuperform Wimbo wa SALOME
elewa Kama unavojieleweshaUmechemka mkuu.lazima kuwe na tofauti.unampa bendera anayeenda kushindana au kusherehesha?(entertainment)

hapana , huwezi kufix kitu kila kumpa onyo mlengwa.umeongea vizuri mkuu.ila waziri anapaswa kuweka malengo endelevu ya kuwapa bendera wanaoenda kushindana sio kutumbuiza,kwani kilichopo kule ni mtanange wa Soka.kuwasuta TAIFA STAIRS BIla mipango endelevu ni waste of time.Mbona JK alileta coach na tulishiriki fainali za AFRICA Kwa wachezaji wa ndani.sasa hapa kazi mbona kimyaa?!

Kwa pamoja tumpongeze Mond kwanza kisha tuulizane je ni taifa lililomfikisha hapo au jitihada binafsi. Sisi je tumefanya nini kinachoweza kututangaza? Vinginevyo mkuu nahisi tumechagua kuwa walalamishi tu.hata mpira wakifanya vema tutasema mbona utalii bado,mbona elimu siyo,mbona filamu zetu nk.Nawasalimu wakuu,
Katika pitapita yangu leo nimeona picha Waziri NAPE akikabidhi bendela kwa ndugu yetu Diamond ambaye amepata kandarasi ya kutumbuiza kwenye Uzinduzi wa mashindano ya mpira ya AFCON.
Hivi uwakilishi tunaoutaka kama taifa ni wa Mwenzetu mmoja kutumbuiza kwa mda wa saa moja au tunahitaji timu bora itakayoshiriki kwenye medani hizo?
Waziri amefanya jitihada zipi kwamba tunapata uwakilishi wa kushiriki soka huko toka akalie kiti? pia nchi zingine zinafanya kama alichokifanya NAPE?
Ni mtizamo wangu kwamba we should aim higher, i stand to be corrected please.
kweli hana interest na michezo labda lakini waziri wake angalau ajiongeze ili tupate wawakilishi huko! Baba anataka ndege na kazi tuhapana , huwezi kufix kitu kila kumpa onyo mlengwa.
Mimi nadhani diamond akienda kufanya vizuri.
baada ya hapo Watajirekebisha
. hapo ndipo atakapoanza michakato ya kuwaweka saw a!
Mimi nadhani haya tuyafikiriayo Mimi na wewe ,yeye yuko one Step ahead
halafu sio kilaPresident Ana interest ya michezo na burudani.
nadhani baba yetu tunamjua
hataki ujinga ujinga
yeye Ana interest na ujenzi tu.
Umeandika point mkuu!!Labda mleta mada alitaka kibakuli mzee wa tour dunia nzima ndio apewe benderaNinaposema Bendera ni Bandera tu!
namaanisha bendera ya Tanzania in bendera tu,Kama ilivyo, Muwakilishi yoyote wa Tasnia yoyote kutokaTanzania atapewa bendera Kama Bendera ya Tanzania, nikimaanisha kuwa bendera haigawanyiki katika nyanja yoyote,kwamba burudani wana bendera yao, Miss Tanzania wana yao, Waogeleaji wana yao, Hapana! namaanisha bendera ni bendera tu tofauti ni Mwakilishi
Kwahiyo kupewa Diamond Bendera ambayo wangepewa Taiga Stars hakuna ubaya!
kwasababu kila MTU Ana anachowakilisha...
Mwenye mchango katika Taifa kimataifa, kukabidhiwa Bendera sio vibaya,haijalishi nini anafanya.
ndo hivo sasakweli hana interest na michezo labda lakini waziri wake angalau ajiongeze ili tupate wawakilishi huko! Baba anataka ndege na kazi tu
angepewa tungekomaUmeandika point mkuu!!Labda mleta mada alitaka kibakuli mzee wa tour dunia nzima ndio apewe bendera

Point mkuuBendera anastahili kupewa mtanzania yoyote anafanya vzur kweny tasnia yoyote endapo atapata nafas ya kutuwakilisha. Mtu makin angetoa kwanza sifa za mtu anaestahil kupewa bendera ndipo aanze kukosoa. Kijana anafanya vizuri na ni mtanzania
ili ujue mtu katoa point lazima wewe binafsi uwe na point na ujue maudhui ya mada. RICKY MARTIN MFARANSA Ali perform kwenye fainali za kombe la Dunia na kuachia kibao kinachopendwa mpaka kesho la copa de la vida.lakini hakubeba bendera ya Ufaransa.HAPA KAZI TU. Leta data usiongee tu pumba.Umeandika point mkuu!!Labda mleta mada alitaka kibakuli mzee wa tour dunia nzima ndio apewe bendera
Mkuu hiyo bendera imebeba rangi zilizomo katika ile ya CCM kwani bendera ya Taifa ina njano na kijani.Usijali hapo amepewa bendera mbili katika moja.Mbona hawajampa na ya CCM?