Mtu sharp nimtume kwa siku ya kesho Kibaha stand na Mbagala posho elfu 15

Nipo nakuzoom tu hapa.

Ila upunguze kuandika kwa ile lugha iliyokuja na mashua na akina Vasco Dagama, maana inanifanya uone sipo jamvini. Hahahaa
Nitajitahidi kuitafuta hiyo switchi yake iko wapi niikate kabisa.
 
Back
Top Bottom