Mtu sharp nimtume kwa siku ya kesho Kibaha stand na Mbagala posho elfu 15

Kama kuna mtoto wa kiume aliyepo Dar anicheki PM. Ni kazi ya siku 1 tu namtuma Kibaha na Mbagala posho elfu 15. Kwa maelezo njoo PM. Ni kazi inahitajika kufanyika kesho Jumatano. Ahsanteni!

UPDATE: Nimepata mtu tayari miongoni mwa waliokuja PM. Shukrani sana!
Umefanya vema kutoa mrejesho
 
Hamuaminiki nyie, hamchelewi kufunua mzigo uliotumwa, na unaweza kukuta ni kichwa cha mume wako ukaleta tabu kwa mtoa mada
Kiukweli lazima tukabidhiane ni mzigo gani upo ndani humo nisije kubebeshwa bomu bure๐Ÿ˜œ, so nyie wanaume huwa hamchunguzi mnapeleka tu mizigo? Risk takers
 
Kama kuna mtoto wa kiume aliyepo Dar anicheki PM. Ni kazi ya siku 1 tu namtuma Kibaha na Mbagala posho elfu 15. Kwa maelezo njoo PM. Ni kazi inahitajika kufanyika kesho Jumatano. Ahsanteni!

UPDATE: Nimepata mtu tayari miongoni mwa waliokuja PM. Shukrani sana!
Naona dogo Ridhiwani Kikwete umekuja kivingine siku hizi, makontena hutumi tena unatumia vikapu tu.
 
Mkuu unafahamu vitu vifanywavyo ili kupata hizo Iphone 13? Kama ndiyo ulichomaanisha hapo aisee unikome kabisa tena unitue.๐Ÿค” ntaendelea kutumia hii Tecno yangu.
Mbona mkali mkuu๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
kumbe kweli huwa mnafanya eeh๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
 
Back
Top Bottom