Mtu anieleze faida ya kuoa

Mtu anieleze faida ya kuoa

Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.

Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.

Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?
Mojawapo ni hiyo
 
Attachments

  • FB_IMG_17443117008050498.jpg
    FB_IMG_17443117008050498.jpg
    416.4 KB · Views: 17
Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.

Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.

Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?
Aisee!! Umelelewa na singo madha?? Kumradhi km utaudhika!!👿
 
Kuna movie moja marehemu Kanumba anamtongoza Norah anamwambia “nikubalie tuoane tuishangaze dunia” nimekutana na hicho kipande kacheka sana
 
Mkuu wewe ni ke au me? Kwahio wewe hujui migegedo? Kama unaijua ni ya mkeo tu au ya mumeo tu, hongera sana. Kuna viumbe vipo vichache, ila kiumbe wewe uko peke yako
 
Ndoa ni muhimu sana,na nifaraja kwa mwanaume.tatizo ni wanawake wa siku hizi-ukimweka ndani tu utapata stress mpaka ujiulize why ulioa.

Wanawake wa siku hizi wana tamaa,sio ya nchi hii.Wengi wameanza mapenzi mapema hadi anaolewa amisha lala na wanaume kama 20 hivi bado tamaa za mali na vitu yani shida juu ya shida.
 
Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.

Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.

Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?
Faida za kuoa ni kama faida ya kuongozwa na CCM hakuna tofauti
 
The fact moja kuhusu ndoa ni kama umebarikiwa kuzaliwa na akili nyingi huwezi kuishi na mwanamke yyoyote hapa Duniani maana utaona ni kero na karaha.Ndio 99% ya watu wote wenye akili nyingi hawakuwahi kuoa.

Ili uweze kuishi na mwanamke ni lazima uwe mjinga na mtu wa kupuzia.
 
Wewe niachie tu nitamalizana naye.

Kuna mtoto wa Kiislamu alikuwa ananitafuta katikati ya mfungo wa Ramadhani mpaka aibu nikawa naona mimi 🤣🤣🤣
wewe jamaa ulikua chakaramu sana enzi izoo 😂😂😂😂
 
wewe jamaa ulikua chakaramu sana enzi izoo 😂😂😂😂
Enzi hizo?

Hii Ramadhani ya mwaka huu 😂😂😂

Watoto wa Kiislamu sijui wananioendea nini. Kuna mmoja Mpemba nilikuwa namwambia kwenu watu wa kitabu nikienda wakitaka kunipa juzuu Maulid nitasemaje?

Akasema "Nitawaambia huyu Comrade wataelewa tu".

Apparently Zanzibar kuna Ma Comrade wamesomea Cuba hawaamini dini, wakitajwa ma Comrade tu wanaachiwa kwenye mambo ya dini.
 
Just imagine huo utaratibu haupo, mtu anajipigia tu kila ampendae, mimba moja wanaume kumi, mtoto hajui baba ni yupi, mjomba ni yupi, shangazi ni yupi... Matokeo yake unakuja kumuweka dada yako, mama yako mdogo, pengine hata shangazi yako...

Ndoa iheshimiwe ila matendo mabovu yanayotokea ndani ya ndoa yaendelee kulaaniwa
Wewe ndio ujielewi..Kuna mabiti wamezalishwa wapo kwao na watoto wanajulikana baba zao natena wapo wengi tu huku mtaani.
 
Back
Top Bottom