Mtu anieleze faida ya kuoa

Mtu anieleze faida ya kuoa

Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.

Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.

Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?
Unakuwa na uhakika wa papuchi
 
Kuoa ni kumutafuta adui wa maisha yote yaani mtu kukuona hufai muda wote atakaye kuibia pesa muda wote atakaye chukua Mali zako ukifa bila wazazi wako kuambulia kitu oa uyaone ,atakaye lia uongo ukifa kumbe anataka uzikwe haraka ,ulimubana kutembea na baby wake
 
Hakika
 
Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.

Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.

Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?

Ndoa nzuri ukipata mtu sahihi ,ukipata kichomi ni mara 1000 usioe.
 
Inategemeana umezaliwa mazingira Gani, ni ya kama ya kwako ama kwenye familia ya baba na mama, huwezi jua umuhimu Kama hujaingia.
Pia akili yako inakudanganya ivyo yaani unakufariji na kukupa sababu zote za kusapoti kile unachopenda ukione kwa Maisha yako. Yaani kile unachokiona ndicho unachokiona.
So na wewe dingi yako alijipigia tu ukapatikana ama ilikuwaje, always water will follow its course or channel, so keep it up don't try to pollute others.
Do you there's life perfection at marriage or staying at single?
In short bado unakuwa kadri miaka itakavyoazidi kwenda utazidi kujioma u mjinga. Naomba ufike miaka 55-65 urudi hapa uongee haya maneno, tuombeane, yaani hata mie mdogo ivi nakuzidi upepo. Am still 20s Nina watt nasomesha public schools wanakula na kulala na kuvaa , they're my close friends whom I can trust 100%
20's na Umeoa??
 
Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.

Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.

Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?
Kwa akili hizi kaa mbali na ndoa. Binadamu hawezi kuishi Kama mnyama eti mradi unazini basi huna tofauti na waliokwenye ndoa.
 
Back
Top Bottom