Mtu anieleze faida ya kuoa

Mtu anieleze faida ya kuoa

Dada angu ni islam na ili umuoe kwanza uamini hakuna mola apasae kuabudiwa kwa haki isipokua allah..

Na jina lako utaitwa ostadhi Othumani

Karibu Othaman kuhusu mahali tunahitaji masahafu tu...
Wewe niachie tu nitamalizana naye.

Kuna mtoto wa Kiislamu alikuwa ananitafuta katikati ya mfungo wa Ramadhani mpaka aibu nikawa naona mimi 🤣🤣🤣
 
Swali la kujiuliza umezaliwa na kulelewa kwenye familia ya namna gani? Kisha jibu la swali lako utalijua
 
Back
Top Bottom