Inategemeana umezaliwa mazingira Gani, ni ya kama ya kwako ama kwenye familia ya baba na mama, huwezi jua umuhimu Kama hujaingia.
Pia akili yako inakudanganya ivyo yaani unakufariji na kukupa sababu zote za kusapoti kile unachopenda ukione kwa Maisha yako. Yaani kile unachokiona ndicho unachokiona.
So na wewe dingi yako alijipigia tu ukapatikana ama ilikuwaje, always water will follow its course or channel, so keep it up don't try to pollute others.
Do you there's life perfection at marriage or staying at single?
In short bado unakuwa kadri miaka itakavyoazidi kwenda utazidi kujioma u mjinga. Naomba ufike miaka 55-65 urudi hapa uongee haya maneno, tuombeane, yaani hata mie mdogo ivi nakuzidi upepo. Am still 20s Nina watt nasomesha public schools wanakula na kulala na kuvaa , they're my close friends whom I can trust 100%