Mtu anieleze faida ya kuoa

Mtu anieleze faida ya kuoa

IMG-20250615-WA0128.jpg
 
1. Kupigiwa kelele unapohitaji utulivu (vuvuzela)
2. Kuchapiwa
3. Kuletewa magojwa kama UTI sugu, gono n.k
4. Kubambikiwa watoto. Kitanda hakizai haramu
5. Kugawana mali pasu kwa pasu mkiachana
 
'Ndoa si kwa ajili yako ni kwa ajili ya watoto, kuweka ndoto kando na kuzivaa changamoto, Ndoa ni kukumbatia kaa la moto Ndoa ni jua kali ndoa ni joto'

DIZASTA VINA.
 
Faida ni kuwa na familia na watoto utakaowapenda, kukupa furaha na umuhimu wa maisha. Na mwisho wa siku watakusaidia mbele ya shida na kukuzika siku ukifa. Utagundua na kupata hayo kama una akili, unajitambua na kujua mwanamke wa kuoa.

Vinginevyo utapata the opposite. Sababu maisha sio fairytales.
 
Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.

Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.

Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?
Inatagemeana ulizaliwa na kulelewa na wazazi wote wawili na uliona faida ya baba na mama Ila Kama hukuiona. Ama mzee wa watu alipita mahala akakojoa ukatokea lazima maji yafuate mkondo. Yaani nature inakuumba sie ni akina nani tushindane na asili eg sumaku isivute chuma
 
Back
Top Bottom