Chinchiler
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 2,563
- 3,203
Safi sana achana na kuoa nduguNdugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.
Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.
Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?