Mtu anieleze faida ya kuoa

Mtu anieleze faida ya kuoa

Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.

Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.

Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?
Kwa hiyo wewe kuwa ma mwanamke ni mbususu tu?
 
Dah ulijitesa sana mkuu, yani umri huo ndo nipo darasa la tano
Kujitesa ni wewe sio Mimi, mfano unamuona swala Tano anahangaika kwenda kuswali Kila wakati Ila kwake haangaiki Bali ww ndiye unayehangaika sio yeye. Mie nimeoa nikiwa shuleni
 
Duh hongera mzee, unaweza ukawa baba mkwe🤣kabsa
 
Kwa hiyo faida za kuoa inategemea na jinsi ulivyozaliwa sio?
Si kwa namna hiyo moja kwa moja,
ila ukiangalia malezi ya jinsi kama umelelewa na wazazi wote wawili utaona umuhimu wa kuoa angalau na wanao wakue katika malezi uliyoyapata kama yalikufaa.

In short it's a just a matter of giving and receiving unconditional love.
 
Faida:
Mwanamke ni pambo, ukimwangalia tu unamwagika furaha
Kupata watoto😋
 
Sema ishu ya ndoa isingekuwepo hadi sasa dunia ingekuwa na kizazi cha ajabu sana
Ndoa kitu gani mzee? Mbona kuna sheria kali dhidi ya wahalifu na bado uhalifu hauishi?
 
Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.

Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.

Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?
Lakini kila ukimaliza kugonoka UNAENDA kusumbua vi lab vya mtaaniniupima Ngoma na kunywa vidonge vya uongo nakweli.

Sawa unalinganaje na aliyeoa
 
Kama faida ndio hizo mi sioi
Nikuulize swali

Ikiwa unaishi kunyumba na mwanamke fulani, au ukawa na mahusiaanonae tu, hata kama hamuisihi pamoja.Ikiwa mwanaume mwingine atamtaka huyo mwanamke, na kuanza kumtongoza
Wewe utamzuia huyo mwanaume asiendelee kumtongoza huyo mwanamke, au utamzuia huyo mwanamke asiende kwa huyo mwanaume kama nani?

Kwa sababu kiuhalisia hakuna chochote kinachokufanya wewe uwe na mamlaka na huyo mwanamke, na kama ni hivyo basi yeyote anamamlakanae.
 
Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.

Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.

Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?
Kuoa ni utumwa. Hakuna faida yoyote itokanayo na kuoa mkuu.
 
Nikuulize swali

Ikiwa unaishi kunyumba na mwanamke fulani, au ukawa na mahusiaanonae tu, hata kama hamuisihi pamoja.Ikiwa mwanaume mwingine atamtaka huyo mwanamke, na kuanza kumtongoza
Wewe utamzuia huyo mwanaume asiendelee kumtongoza huyo mwanamke, au utamzuia huyo mwanamke asiende kwa huyo mwanaume kama nani?

Kwa sababu kiuhalisia hakuna chochote kinachokufanya wewe uwe na mamlaka na huyo mwanamke, na kama ni hivyo basi yeyote anamamlakanae.
Watakuwa wanaoshi kama wapenzi mkuu (no formal marriage). So, hakuna mwanaume yeyote mwenye mamlaka ya kumchukua mpenzi wa mtu.
 
Lakini maisha ni yako sio ya jamii
Ok,tukiacha faida binafsi, ndoa inafaida kubwa kijamii.

Ukiitazama ndoa kwa kuangalia faida binafsi ambazo zitakunufaisha wewe kama wewe basi huwezi kuona faida yake.
Kwa sababu mmomonyoko wa kimaadili uliopo kwenye jamii leo hii umemfanya mtu aweze kuzipata hata kama hana ndoa.

Mfano wa faida hizo ni kama, ngono na kupata watoto, na wakati mwingine kuhudumiwa kama anavyoweza kuhudumiwa mume.

Lakini katika upande wa kijamii, ili uweze kuzipata hizo faida binafsi hapo juu, ni lazima umpate mwanamke fulani, ambaye atakuwa ni binti wa mtu, dada wa mtu, shangazi wa mtu, mama wa mtu n.k

Hivi kuna mazazi anakubali umchukue binti yake kama tu chombo cha starehe?
 
Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.

Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.

Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?
Mpigie Baba au Mama yako na muulize atakueleza kwa ufasaha zaidi.
 
Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.

Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.

Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?
Kuoa sio lazima iwe kidini au kiserikali hivyo hauna sababu ya kuumiza kichwa we endelea tu na maisha yako

Ndoa waachie wenye uhitaji na ndoa
 
Back
Top Bottom