Mtu anieleze faida ya kuoa

Mtu anieleze faida ya kuoa

Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.

Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.

Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?
Kama unaona umewapita usioe mwaya
 
Faida ni kwamba jamii na wazazi wenu wote wanajua kuwa fulani ndo analombana na mwanangu kihalali, yani mnafanya umalaya uliothibitishwa indirect.
 
Kwanini wengi hamnipi jibu la moja kwa moja badala yake mnani p a maelezo mengi ya jumla?
Mi nataka faida ambayo nyie kwenye ndoa mnapata mie sijaoa sipati na sitopata.
Ok,tukiacha faida binafsi, ndoa inafaida kubwa kijamii.

Ukiitazama ndoa kwa kuangalia faida binafsi ambazo zitakunufaisha wewe kama wewe basi huwezi kuona faida yake.
Kwa sababu mmomonyoko wa kimaadili uliopo kwenye jamii leo hii umemfanya mtu aweze kuzipata hata kama hana ndoa.

Mfano wa faida hizo ni kama, ngono na kupata watoto, na wakati mwingine kuhudumiwa kama anavyoweza kuhudumiwa mume.

Lakini katika upande wa kijamii, ili uweze kuzipata hizo faida binafsi hapo juu, ni lazima umpate mwanamke fulani, ambaye atakuwa ni binti wa mtu, dada wa mtu, shangazi wa mtu, mama wa mtu n.k

Hivi kuna mazazi anakubali umchukue binti yake kama tu chombo cha starehe?
 
Ndoa ni chanzo cha umaskini

Kama faida ndio hizo mi sioi
 
Faida ni kwamba jamii na wazazi wenu wote wanajua kuwa fulani ndo analombana na mwanangu kihalali, yani mnafanya umalaya uliothibitishwa indirect.
Faida ni kwamba jamii na wazazi wenu wote wanajua kuwa fulani ndo analombana na mwanangu kihalali, yani mnafanya umalaya uliothibitishwa indirect.
Hahahahahahah
 
Ndugu zangu kila nikiangali mbona sioni faida yeyote ya kuoa wal hasaa heyote ya kutokuoa.

Watu wa umri wangu waliooa na mimi ambae sijaoa hatuna utofauti wowote sana sana naona kama nimewazidi hivi, au mimi ndio sielewi.

Kama mbususu napata kama wanavyopata wao tena mie sipangiwi mi ndio napanga, kula, kunywa ,kuvaa vyote napata kama wanaopata kwenelye ndoa sasa faida ya kuoa iko wapi?
Umuhimu wa mke ni tofauti kwa kila mtu.
 
Ndoa ni tendo linalopelekea uwepo wa familia na familia ndio chanzo Cha kwanza kabisa Cha jamii Bora bila ndoa hakuna familia Bora na bila familia Bora hakuna jamii iliyo Bora kama Mungu amekujalia nguvu na uwezo ni vema ukaoa ili ushiriki kujenga jamii Bora 🙏🙏🙏🙏

DIAMOND hajaoa lakini ana familia, cristiano ronaldo hajaoa lakini ana familia, kuna watu wana ndoa zina miaka 10 lakini hawana familia yenye hata mtoto mmoja
 
Just imagine huo utaratibu haupo, mtu anajipigia tu kila ampendae, mimba moja wanaume kumi, mtoto hajui baba ni yupi, mjomba ni yupi, shangazi ni yupi... Matokeo yake unakuja kumuweka dada yako, mama yako mdogo, pengine hata shangazi yako...

Ndoa iheshimiwe ila matendo mabovu yanayotokea ndani ya ndoa yaendelee kulaaniwa
Kama mbwa tu. Unazaa na yeyote.
 
Back
Top Bottom