Baba Joseph17
JF-Expert Member
- Jul 15, 2013
- 9,518
- 9,722
Mimi kijana akifika miaka 7 anakoga mwenyewe ila maramoja moja namfuatilia akiwa anakoga nione anavyoona na mambo mengine ya kiume kijana wako kama ni rajali utaona ukienda kumuangalia anakoga lazima aone aibu lakini akienda mama yake haoni aibu unajua huyo ni dume haogopi jinsia ya kikeKuna siku humu humu j.f kuna mama aliweka koment kwamba yeye huwa anamuogesha mtoto wake wa kiume wa miaka 11 ili awe anamchunguza marinda,
yani kitu cha kwanza hapo hivi unaogeshaje mvulana ana miaka 11 wakati mvulana huo umri tayar anakaribia balehe, hii sio sawa kabisa maana itaathiri saikolojia ya mtoto wa kiume kujiona hana mamlaka
kitu kiingine anasubiria tukio litokee alafu afanye nini??