sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,408
- 19,032
Muhimu: watoto wa kiume wanaozungumziwa ni wale ambao wapo sana na mama zao, achana na wale ambao wana lelewa na single mothers ila wana farher figures au wana kampani kubwa ya wajomba au hata kuwa na marafiki wanaume wenye maadili.
Sababu kubwa ni kwasababu wanawake wanalea watoto kwa kuwalinda dhidi ya changamoto, wao wamejikita zaidi kuwa kama miamvuli huku wanaume wanafundisha watoto jinsi ya kukabiliana na matatizo ya hii dunia.
Pia mwanamke ana roho laini sana iliyojaa huruma iliyopitiliza (compassion) kwa mtoto wake wakiume, mtoto wa kiume hawezi kukuzwa hivyo kuwa mwanaume rijali, dunia hii haina huruma kwa wanaume, ukikosea kuna majuto yake, mtoto wa kiume ni vema kumuandaa mapema kwa hii hali, pale anapokosea mpe adhabu hata kama atapatwa na maumivu ili ajue mapema uhalisia wa dunia, hapa kina mama huwa hawawezi kabisa kuona watoto wao wakipata adhabu zinazowatesa hata kama zinawafunza uhalisia wa dunia
Badala ya mtoto kuwa mwanaume (Alpha) anaweza kuwa wa kiume (Beta0

ALPHA | BETA |
Hujilaumu yeye mwenyewe kwa makosa aliyofanya | Hutafuta watu wa kuwaangushia lawama au visiingizio kwa makosa yake |
Wanajiamini sana, hukabiliana na tatizo | Wana asili ya uoga, hukimbia matatizo |
Huwa na asili ya uongozi wakiwa kwenye vikundi, akiwa kwenye mazungumzo anasikilizwa sana na wenzake | Hawaoni kero yoyote katika kuongozwa, kutumwa, n.k |
huwaona wanawake kama wasaidizi wao, kwenye mahusiano wao ndio wanataka wawe wa kusikilizwa na kufanya maamuzi, | Huwaona wanawake kama madini, huwanyeyekea sana, kwenye mahusiano si ajabu kukuta mwanamke ana kauli kubwa ya kuwaaamuru wafanye nini, |
Hawaogopi kujitetea kwa kutumia miili yao | Wanaogopa sana ugomvi wa ngumi |
Maisha yao huongozwa kwa kiasi kikubwa vile wanavyotaka wao | Maisha yao huendeshwa kwa kiasi kikubwa na mawazo ya wngine |
Watu upenda kuwaomba usauri na muongzo kwenye changamoto za kimaisha | Hupenda kuomba ushuri kwa Alpha males |
Hawapendi kuoa single mothers na kulea watoto wasio wao | Hawaoni shida kuoa single mothers wenye watoto, kwao kulea mtoto wa mwanaume mwengi sio taabu |
Hawana unafki, wanapenda kuyatoa kama talivyo | Wapo indirect |
Hupaza sauti wanapoona hakuna usawa / haki | Husuburi wengine wawapazie sauti |
Hawasiti kuchukua hatua yoyote kulinda watu wao wa karibu, anaweza kufa kwa mateso ili kulinda watu wake | Hujiangalia kwanza usalama wao, hapa nyumba inaweza kuvamiwa, wazo likawa kila mtu ajifiche |