Samcezar
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 13,096
- 22,621
Na ndio maana siku hizi watoto wanakuwa na tabia za ajabu ajabu sana. Halafu tukiongea hapa tunaonekana tunachuki na tunachukia wanawake waliopata watoto nje ya ndoa. Kumbe ni swala la kukemea mfumo ambao ni kinyume na maadili ya mtanzania ambao umeanzishwa na mabinti hawa wa kizazi cha 1980's na 1990's ambao unazalisha kizazi cha ajabu sana kwenye jamii kwasasa.Bora huyo,yupo singomaza aliyekuwa analala na kijana wake wa kiume aliyemaliza form 4 eti anamhurumia baridi mvua ikinyesha. Ni mambo ya ajabu yanatendeka humu duniani. Mama anafikia hatua ya kumwambia mwanae wa kiume amfunge zipu ya gauni lake nyuma. Kiukweli vijana wa kiume wanaolelewa na singomaza bila baba ni hasara kwa familia,jamii na taifa.