Mtizamo: Let love lead the way

Mtizamo: Let love lead the way

Haya bana... ni kweli sijasahau lakini mmmh! Na leo
aliko amkia naomba hakikisha kila siku aamkie huko huko...
maana kanigusa saaana most of the things kaongelea....
Leo kaamkia upande wa kulia nahisi haahaha
 
Ni kweli kabisa hakuna kitu kibaya kama kulazimishwa kitu..., lakini wewe ukiacha kwa uamuzi wako mwenyewe, itakuwa ni kwa mapenzi yako mwenyewe, na ni muhimu kupima furaha yake na huzuni yako katika uamuzi wako wa kuacha jambo fulani.

Na kama kuacha kwako kitu fulani kutakupunguzia zile furaha zako za kuwa the really MJ1 nadhani hapo utakuwa umepungukiwa na jambo muhimu katika maisha yako ya kila siku (after all life needs to be enjoyed...) lakini even just thinking about it shows great consideration and caring from your part, and he is indeed a lucky man.....

VoR................you re very right. I am making some sacrifices ambazo kwa minajili ya mizani umeelemea upande mmoja ambao I am very happy! Thanx bro.
 
Anyway, nimewasomeni woooooote kwa makini sana.

Ashadii, MJ1, SaraM na Voice Of Reason mmengukia kwenye penzi la aina moja. Penzi la kitamthilia, penzi la kujifunza, penzi la vitabuni, penzi la kuiga. Kwa mtazamowangu kwenye hoja zenu, nyie mwaweza kujifunza kupenda, mwaweza kulilinda penzi kwa gharama yoyote, hamkubali kushindwa kirahisi kwa kuwa mna uwezo wa kulirudisha penzi linalopwaya kwa kuwajibika.

Soulmate wangu Gaga na baadhi ya wadau wao wako fifty fifty, wanaliachia penzi liongoze njia at the same time wanalilinda kwa "kubanana hapahapa" kwa kumark materitory ya kufa n'tu.

Wengine wale wa mrengo wa kushoto kama Teamo, Kimey na ODM bado tumeshikilia kale kamsimamo ketu ka Penzi na Liongoze Njia.

Well well........... Tuendelee...... nlikuwa nimelala, na nimeona mlivyokuwa mnaninanga (Shem ADI na MJ1, mna kesi ya kujibu)
Ngoja nione kama bado mko hewani.
 
Sasa kama ndio hiyo auto pailoti, si inabidi mpaka ndege iwe ishafika futi elfu 40 toka usawa wa bar(hari), so hapa mwanzo kwenye ku-take off na baadae kwenye ku-take on siinabidi ma-marking ya territory yachukue mkondo wake.....isije tukafanya mambo ya auto pilot kwenye daladala itakuwa balaa jama
 
Hahahaha.........unaweka territory mpaka kwenye mabaamedi
 
Anyway, nimewasomeni woooooote kwa makini sana.

Ashadii, MJ1, SaraM na Voice Of Reason mmengukia kwenye penzi la aina moja. Penzi la kitamthilia, penzi la kujifunza, penzi la vitabuni, penzi la kuiga. Kwa mtazamowangu kwenye hoja zenu, nyie mwaweza kujifunza kupenda, mwaweza kulilinda penzi kwa gharama yoyote, hamkubali kushindwa kirahisi kwa kuwa mna uwezo wa kulirudisha penzi linalopwaya kwa kuwajibika.

Soulmate wangu Gaga na baadhi ya wadau wao wako fifty fifty, wanaliachia penzi liongoze njia at the same time wanalilinda kwa "kubanana hapahapa" kwa kumark materitory ya kufa n'tu.

Wengine wale wa mrengo wa kushoto kama Teamo, Kimey na ODM bado tumeshikilia kale kamsimamo ketu ka Penzi na Liongoze Njia.

Well well........... Tuendelee...... nlikuwa nimelala, na nimeona mlivyokuwa mnaninanga (Shem ADI na MJ1, mna kesi ya kujibu)
Ngoja nione kama bado mko hewani.
Sio kitamthilia watu wanachukua kweli ukifanya mchezo asprin
 
hahaha....!

Huyo jiiwaaaay anaingia mlengo wa kulia no dauti!....penzi la kisasa....kitu cha VVTI....!kitu cha umeme...eneji seva
 
Back
Top Bottom