Mtizamo: Let love lead the way

Mtizamo: Let love lead the way

Anyway, nimewasomeni woooooote kwa makini sana.

Ashadii, MJ1, SaraM na Voice Of Reason mmengukia kwenye penzi la aina moja. Penzi la kitamthilia, penzi la kujifunza, penzi la vitabuni, penzi la kuiga. Kwa mtazamowangu kwenye hoja zenu, nyie mwaweza kujifunza kupenda, mwaweza kulilinda penzi kwa gharama yoyote, hamkubali kushindwa kirahisi kwa kuwa mna uwezo wa kulirudisha penzi linalopwaya kwa kuwajibika.

Soulmate wangu Gaga na baadhi ya wadau wao wako fifty fifty, wanaliachia penzi liongoze njia at the same time wanalilinda kwa "kubanana hapahapa" kwa kumark materitory ya kufa n'tu.

Wengine wale wa mrengo wa kushoto kama Teamo, Kimey na ODM bado tumeshikilia kale kamsimamo ketu ka Penzi na Liongoze Njia.

Well well........... Tuendelee...... nlikuwa nimelala, na nimeona mlivyokuwa mnaninanga (Shem ADI na MJ1, mna kesi ya kujibu)
Ngoja nione kama bado mko hewani.

Hapa ODM umeeleweka vizuri saana.... ila tu hayo Mapenzi ya "let love lead the way"
ndio ya kitamthilia.... kihalisia ndio hayo yetu ya kugangamala ulipo hata kama love happens
(Alafu shem bana... mambo ya kesi yametoka wapi tena???)
 
Tatizo soulmate uliyeyuka bila kuaga ikabidi nitumie akili ya ziada
 
Umeona eh AshaDii?! Hiyo Love to lead the way, hiyooo ndiyo inayogomba nashindwa kuelewa kwa nini hawataki kukubali ukweli hawa. Love lead the way wanadhani mapenzi ya leo ni yale ya akina Adam na Eva!! Yale ambayo mtu anaoteshwa mke/mumeo atakuwa flani, anaenda oa/olewa na kama ujuavyo ndoto haijirudii unless ufunge kwa maombi. Otherwise ukishaoteshwa basi ni wako daima and the love lead the way.

Mapenzi na mahusiano ya siku hizi ni kuyapalilia bana.........na wasitake kutudanganya hapa kuwa kupalilia ni kutimiza wajibu wa mapenzi, mbona wao hawayatekelezagi hayo majukumu?? Labda kama watanambia kuwa love leads the way kwa mwanaume kuwa akishapenda, basi kapendwa na ni jukumu la mwanamke kujiwajibisha kutekeleza wajibu wa mapenzi. But kwa mwanamke!! ni tofauti, ukitunukiwa kupendwa huna budi kulilinda penzi hilo kwa kuyatenda yote unayohisi yatamfanya mwenzi wako azidi kuvutika nawe, afurahie kuwa nawe, asifikirie kukuacha na kuoa mwingine kwa kuwa penzi lake bado liko kwako.

How can i let the love lead my way, im the incharge bwana nalead mie mwenyewe, na kutafuta mbinu za kung'ang'aniwa zaidi ndio mpango mzima

Baelezee BB, baelezee.( Afu ulikuwa wapi tangu mwanzo maana leo Babu yako kasimamia vidole gumba kwa ubishi!! )
 
Mie nashangaa maelezo yetu yako wazi kabisa... Hii post MJ1 Umeeleza ipasavo kabisa... yaaani sihitaji kuongeza neno... Lakini Shem yangu kang'ang'ana.. na bahati mbaya saana ni kwamba twapishana nae... akiona mimi nawe hatupo ndo utaona anatinga hapa ili asijibu maswali.... Hio ni wazi kabisa... "Let love lead the way ina maana iwe auto pilot (kama walivo admit)" sasa ikiwa hivo mbona hali ya hewa ikibadilika basi ajali mara moja!!
 
Nimesoma post zako kwenye hii topic, umejielezza viuri bwana wewe kuwa yupo wako hahaaaaaa
acha uchokozi

Nyie binadamu nimewasomeni kwa kina sana. Nimeuona uchokozi wenu na conclusions zenu. ODM hajakimbia, yuko hapa muda wote kutetea penzi kushika hatamu ya maisha...

Yawezekana labda hatujajua nini maana ya penzi........ Tukijua maana ya penzi mtakubaliana na ODM kuwa penzi likishika hatamu hakuna haja ya palizi katika kulirutubisha. Linajirutubisha lenyewe...... Hii dhana ya kulinda penzi ambalo kiukweli labda halipo bado halijakaa kichwani mwa ODM. Hivi mlishawahi kupendwa msipopendwa?

Kwamba ODM anampenda MJ1 lakini Mj1 hampendi ODM ila labda kutokana na sababu fulani akajikuta anamtamani.... Tamaa huwa ina limit, ila penzi halina limit. Limit ya tamaa ya MJ1 kwa ODM ikiisha, Mj1 atamuona ODM ni kama kaka yake. Ataanza kuleta za kuleta ambazo zitamuumiza sana ODM. ODM kwa kuwa anapenda ataanza "kuhangaikia" penzi lisilowezekana kwa MJ1. Believe me you, ODM hata akatambikie kwa mizimu ya baba ya babu zake ataishia kula wa chuya.

Penzi linakwenda nachurale bana, ukiona unahangaika kujifaragua ili umweke sawa unayedhani anakupenda ujue umeshaula wa chuya for kama angekuwa anakupenda wala usingehangaika kujifaragua kwakuwa asingekuachia upate kazi ya kuhangaika. PENZI HALIJIFICHI! Penzi halilindwi bali linajilinda...........Tuacheni Penzi liongoze njia jamani.

ODM anarejea kitandani.
Pia anapatikana kwenye PM kwa msaada zaidi wa kimapenzi.
Mje without.
 
ODM... Mie hapa.... NIMESHIBA!!!
 
images

...mmeongea kila kitu, ...observe the 'traffic' lights...!
 
Orait hommie hapo well said

Ila hapo kwen bold unataka shemeji yako aje without kweli?:gossip:
 
hebu tujuze hiz nyingine BB
Kujituma kitandani, kuhakikisha nakuwa msafi masaa yote, kumaintain mwili alioupenda mwanzo aliponiona, kumlisha ashibe, kumheshim, kuna wengine wakiona wamependwa baaasi anajibweteka, wewe unafikiri wale wamama wa nyumbani wanaopewa kila kitu na waume zao wamejiachia ukirudi unakuta mtoto kamkojolea wala hajali, kitanda hajatandika tangu kumekucha , nywele kama kichaka cha kitintale,ndio wanapendwa lakini wanajisahau kwa dhana waachie tu mapenzi yajiendeshe, hakuna jitihada zozote, leo ngoja niwe mjukuu mkorofi kwa kumbishia babu, kwangu mie penzi nalienzi sanasana, nahakikisha nabana engo zote, na ndio maana unakuta sijawahi achwa mie ndio mwamuzi, hahahaha ndio hivyo najua umeguna
 
mmmh....

hahaha BB bana

Hapa hayo ulozungumza mwanzoni nimeyapenda sana..kitu kimoja tu kwamba hayo yote (na ndo hoja ya msingi hapa) yanakuja panapokuwa na mapenzi..kwamba unafanya ivo kwa sababu unampenda yule uliye naye, na the opposite ni kwamba hao wamama unaoona hawajali wakiwa nyumbani 'wamebweteka' kwa theory yetu hapa ni kwamba mapenzi pia yamepungua....ingeweza kuwa ni kutoka kwa mume/mke lakini ukweli ni kwua mapenzi hapo yanakuwa yamepungua.

Ndio msingi wa hoja hapa

Sasa kwa mtizamo wako huo, wa kwamba lazima 'uwe ngangari' kupalilia/kulinda penzi...ina maana hata pale ambapo penzi limeisha utakuwa unafanya hivyo..na believe me maji yakishamwagika huwa hayazoleki...sijui na wewe utaguna ama vipi lol
 
Kaizer mie namtafuta MJI kwa darasa la wale watu walioingia usugu ...................

Hahahaaa, ndio hivo sitoi chance ya penzi kushuka, sababu simuudhi, simfatiliifatilii ambayo wanaume wengi hawapendi, atakuwa anatoka kuiba lakini roho yake yote inakuwa kwangu tu, kama alivosema babu baiolojia inaruhusu lakini si kwa mapenzi, ila ikitokea mjanja kaniwahi huko itabidi niwe mpole niachie ngazi, as naamini navumilia pale tu penzi linapokuwepo, ndio maana nalilinda kwa gharama sana...kwa kweli nitaguna mpaka koo lichubuke
 
Back
Top Bottom