Kujituma kitandani, kuhakikisha nakuwa msafi masaa yote, kumaintain mwili alioupenda mwanzo aliponiona, kumlisha ashibe, kumheshim, kuna wengine wakiona wamependwa baaasi anajibweteka, wewe unafikiri wale wamama wa nyumbani wanaopewa kila kitu na waume zao wamejiachia ukirudi unakuta mtoto kamkojolea wala hajali, kitanda hajatandika tangu kumekucha , nywele kama kichaka cha kitintale,ndio wanapendwa lakini wanajisahau kwa dhana waachie tu mapenzi yajiendeshe, hakuna jitihada zozote, leo ngoja niwe mjukuu mkorofi kwa kumbishia babu, kwangu mie penzi nalienzi sanasana, nahakikisha nabana engo zote, na ndio maana unakuta sijawahi achwa mie ndio mwamuzi, hahahaha ndio hivyo najua umeguna