Mtizamo: Let love lead the way

Mtizamo: Let love lead the way

...the user mbu says thank to Aspirin for this useful posts,..impressive.

ODM, mwj1, kaizer, AshaDii, teamo, Blackberry na wachangiaji wengineo wengi kwenye m
sredi hii mnazungumza lugha moja, kinachogomba ni tafsiri ya muonekano wa bilauri tu..
277823-half-full-beer-mug-black-back-lit.jpg
...a mug is half empty and half full...!
Nimekugongea like badala ya Senksi kwakuwa umeamua kunitia wazimu na kiu yangu.......... Ndo picha gani unabandika wakati nje kuna jua kali namna hii? Afu eti leo ni ijumaa....khaaa!

• Thanks
Reactions: Mbu

...the user mbu says thank to Aspirin for this useful posts,..impressive.

ODM, mwj1, kaizer, AshaDii, teamo, Blackberry na wachangiaji wengineo wengi kwenye m

sredi hii mnazungumza lugha moja, kinachogomba ni tafsiri ya muonekano wa bilauri tu..

...a mug is half empty and half full...!

kwani umefichwa wapi weye? Mbona waja kwa kubeep?!
Haya penzi latoka rohoni si vitendo peke yake! Pale nnapomshuhudia Mr anayakodoa macho hadi mdomo kuacha wazi akimtizama "mpita njia" nami nimerelax tu nikiamini Love inalead the way!! Mtihani huu jamani, haya tutafanyaje na Babu keshasema?!

Akikupenda, hatamtazama mpita njia. Na hata kama akimtazama atakuwa anaburudisha macho tu!

Wee kijana, mbn tunakiambiana siku hizi?, tangu nikukope zile elfu semanini ukamalizie pango basi tena, ukankimbia, atasimu hupokei umerudisha elfu ishirini tu...aya bana...nimekusamehe lakini izo zilizobaki.

• Thanks
Reactions: Mbu
Nyie binadamu nimewasomeni kwa kina sana. Nimeuona uchokozi wenu na conclusions zenu. ODM hajakimbia, yuko hapa muda wote kutetea penzi kushika hatamu ya maisha...

Yawezekana labda hatujajua nini maana ya penzi........ Tukijua maana ya penzi mtakubaliana na ODM kuwa penzi likishika hatamu hakuna haja ya palizi katika kulirutubisha. Linajirutubisha lenyewe...... Hii dhana ya kulinda penzi ambalo kiukweli labda halipo bado halijakaa kichwani mwa ODM. Hivi mlishawahi kupendwa msipopendwa?

Kwamba ODM anampenda MJ1 lakini Mj1 hampendi ODM ila labda kutokana na sababu fulani akajikuta anamtamani.... Tamaa huwa ina limit, ila penzi halina limit. Limit ya tamaa ya MJ1 kwa ODM ikiisha, Mj1 atamuona ODM ni kama kaka yake. Ataanza kuleta za kuleta ambazo zitamuumiza sana ODM. ODM kwa kuwa anapenda ataanza "kuhangaikia" penzi lisilowezekana kwa MJ1. Believe me you, ODM hata akatambikie kwa mizimu ya baba ya babu zake ataishia kula wa chuya.

Penzi linakwenda nachurale bana, ukiona unahangaika kujifaragua ili umweke sawa unayedhani anakupenda ujue umeshaula wa chuya for kama angekuwa anakupenda wala usingehangaika kujifaragua kwakuwa asingekuachia upate kazi ya kuhangaika. PENZI HALIJIFICHI! Penzi halilindwi bali linajilinda...........Tuacheni Penzi liongoze njia jamani.

ODM anarejea kitandani.
Pia anapatikana kwenye PM kwa msaada zaidi wa kimapenzi.
Mje without.

...hehehe...! ---hii mifano mingine hii, aiseeee!?---
no further comments,..

Akikupenda, hatamtazama mpita njia. Na hata kama akimtazama atakuwa anaburudisha macho tu!
kwa hiyo Babu yeye tu ndo aburudishe macho na mdomo kila siku? Ataanza kuburudisha macho, kisha atataka kuburudisha mwili na usipoangalia ataburudika na moyo kabisa na hapo ndo mwanzo wa kulitia chachu penzi! Au ikitokea likachachuka ndo njia yake?
Nahitaji makwenzi babu kulielewa somo lako la leo

...hehehe...! ---hii mifano mingine hii, aiseeee!?---
no further comments,..
Kama hujasoma shule ya sekandari ya kata, hutaweza ielewa hii mifano....hahahaha!

• Thanks
Reactions: Mbu
Nimekugongea like badala ya Senksi kwakuwa umeamua kunitia wazimu na kiu yangu.......... Ndo picha gani unabandika wakati nje kuna jua kali namna hii? Afu eti leo ni ijumaa....khaaa!

Aise Babu ad mm mjukuu wako kanvuruga...ad nawaza mbn misa ya jioni palepale mahali petu, i mean pale parokiani badae sijui itakuepo leo?..wap katibu RR a.k.a. fundi rejeta aje atoe muongozo.

kwa hiyo Babu yeye tu ndo aburudishe macho na mdomo kila siku? Ataanza kuburudisha macho, kisha atataka kuburudisha mwili na usipoangalia ataburudika na moyo kabisa na hapo ndo mwanzo wa kulitia chachu penzi! Au ikitokea likachachuka ndo njia yake?
Nahitaji makwenzi babu kulielewa somo lako la leo
Aisee we unahitaji practical training........ ngoja nimtoroke mkoloni nikufuate hapo. Uko mtaa wa kwanza au wa pili?

Aise Babu ad mm mjukuu wako kanvuruga...ad nawaza mbn misa ya jioni palepale mahali petu, i mean pale parokiani badae sijui itakuepo leo?..wap katibu RR a.k.a. fundi rejeta aje atoe muongozo.
Ibada ya mwisho itakuwa leo saa 11 kamili jioni. Kanisa lile lile, waumini wale wale.

kwani umefichwa wapi weye? Mbona waja kwa kubeep?!
Haya penzi latoka rohoni si vitendo peke yake! Pale nnapomshuhudia Mr anayakodoa macho hadi mdomo kuacha wazi akimtizama "mpita njia" nami nimerelax tu nikiamini Love inalead the way!! Mtihani huu jamani, haya tutafanyaje na Babu keshasema?!

lol....swali lako mwanajamiione ni jibu kwa swali la manda and vice versa....
nahitimisha mchango wangu mchana wa leo kwa kuwatahadharisha viashiria vya mapenzi ni sawa na matumizi
ya alama za barabarani...msizipuuzie....

road-signal-image_22165.jpg
----visual signal to control the flow of traffic at intersections---

...niombeeni mungu, nasafiri jioni hii kwa chombo kilichoundwa na mwanadamu...
hatma yangu ipo mikononi mwake rabbana subhanna wa taala.
kwaherini, mungu akipenda tutawasiliana kesho mchana.

Wee kijana, mbn tunakiambiana siku hizi?, tangu nikukope zile elfu semanini ukamalizie pango basi tena, ukankimbia, atasimu hupokei umerudisha elfu ishirini tu...aya bana...nimekusamehe lakini izo zilizobaki.

lol....swali lako mwanajamiione ni jibu kwa swali la manda and vice versa....
nahitimisha mchango wangu mchana wa leo kwa kuwatahadharisha mapenzi ni sawa na matumizi
ya alama za barabarani...msizipuuzie....
road-signal-image_22165.jpg
----visual signal to control the flow of traffic at intersections---

...niombeeni mungu, nasafiri jioni hii kwa chombo kilichoundwa na mwanadamu...
hatma yangu ipo mikononi mwake rabbana subhanna wa taala.
kwaherini, mungu akipenda tutawasiliana kesho mchana.

Mwenyezi MUNGU atakunusru na kila baya, utokako, usafiripo na uendako.

• Thanks
Reactions: Mbu

lol....swali lako mwanajamiione ni jibu kwa swali la manda and vice versa....
nahitimisha mchango wangu mchana wa leo kwa kuwatahadharisha viashiria vya mapenzi ni sawa na matumizi
ya alama za barabarani...msizipuuzie....

road-signal-image_22165.jpg
----visual signal to control the flow of traffic at intersections---

...niombeeni mungu, nasafiri jioni hii kwa chombo kilichoundwa na mwanadamu...
hatma yangu ipo mikononi mwake rabbana subhanna wa taala.
kwaherini, mungu akipenda tutawasiliana kesho mchana.
Na hii safari ni ya kutokea wapi kuelekea wapi?

Bon Voyage soulmate wa mjukuu wangu mtiifu.

• Thanks
Reactions: Mbu
uwe na safari njema Mbu, MJI kashapita mitaa hii kweli maana lijamaa linajua kumark territory si mchezo................dah haya Makande ya mama Ngina yananiendesha kweli.........................

...ameen...

thanks darling, soulmate wangu xoxo

• Thanks
Reactions: Mbu

...ameen...

thanks darling, soulmate wangu xoxo

Tembea na yesu ufike salama..kumbuka kunletea vile ulivyoahidi kunletea na hujanleta bado.

• Thanks
Reactions: Mbu

...ameen...

thanks darling, soulmate wangu xoxo

Lol Darling Soulmate.................... sijui niseme ntakumiss au karibu mwe!! Haya kila lililo na kheri lielekezwe kwako.

Na hii safari ni ya kutokea wapi kuelekea wapi?

Bon Voyage soulmate wa mjukuu wangu mtiifu.
Hahahhaah Babu ODM hatimaye umesarenda eh?! Aksante sana Babu kwa Baraka hizi lol (Haiwezekani lazima Mbu kaongezea mahari hapa)

uwe na safari njema Mbu, MJI kashapita mitaa hii kweli maana lijamaa linajua kumark territory si mchezo................dah haya Makande ya mama Ngina yananiendesha kweli.........................

Hahhh Chauro, kwambaje?? Mbu ndo anakuja kumark territory eh!! lol
Tembea na yesu ufike salama..kumbuka kunletea vile ulivyoahidi kunletea na hujanleta bado.

..................Eh Manda mbona twarushana roho tena jamani!? kumbe nawe uliahidiwa!!

Lol Darling Soulmate.................... sijui niseme ntakumiss au karibu mwe!! Haya kila lililo na kheri lielekezwe kwako.

Hahahhaah Babu ODM hatimaye umesarenda eh?! Aksante sana Babu kwa Baraka hizi lol (Haiwezekani lazima Mbu kaongezea mahari hapa)

Hahhh Chauro, kwambaje?? Mbu ndo anakuja kumark territory eh!! lol

..................Eh Manda mbona twarushana roho tena jamani!? kumbe nawe uliahidiwa!!

Punguza wivu shosti...sisi sote tu wajukuu wa Babu mmoja (ODM)....chako changu...changu changu mwenyewe.

Prinsipoz huwa haziangushagi, kinachoangusha ni matumizi ya hizo prinsipo yanapokiuka kanuni.......... kwa kawaida time inatell.
Yaani nikibadili tu na kusubiria ijiendeshe, looo itakula kwangu,nazungushi michongoma kabisa babu

Back
Top Bottom