Ofcourse you should never relax, nadhani mimi na wewe tunakubaliana kabisa....
And this relaxing is what many couples do.!!! ( kuacha kumjali mwenza wao kama mwanzo, kuacha kujali kama nightdress ni chafu au safi, kuanza kuja kulala na majasho wakati before when dating alikuwa anahakikisha hata manukato yakiisha anaazima ... n.k.)
Yaani ni kweli kabisa watu wakishakuwa couples huwa wanajisahau na wanabadilika from the person the other loved before..., kama mwenza wako alipenda utanashati wako.., basi endelea hivyo hivyo na sio kungojea mkienda out ndio upendeze..
Kwahiyo unless ni kero kwa mwenza wako do all you can to make her/him very happy, nadhani kwa kufanya hivyo hata kesho au keshokutwa akikuacha he/she will always remember you and the good moments and it wont take long atajua kwamba alifanya makosa kuondoka..