Nasema asante Teamo,Mj1,Asprin,Kimey,ADII na wengine...mmetuongezea kitu,hatujutii kuwepo hapa...me na mke wangu pia tumegawana timu ila tumekubaliana kutokukubaliana ktk hii topic...Teamo pamoja na kupote ameacha somo la kutosha NASHAURI TUNGEACHA MAPENZI YAKATAFUTA NJIA YAKATUONGOZA PALE WAPENDANAO WANATAMANI KUPAFIKA-Teamo....ukiisoma tena post yake #36 anamkatalia ADII kuwa na uzoefu na mambo ya ndoa...ndani kabisa hakutaka hii ihusishwe na ndoa(HAPA SASA..MAPENZI HUITANGULIA NDOA)...ADII naye post 25 anatuhabarisha penzi la tamaa/uchakachuaji? akihabarisha makosa ktk uchaguzi (ANAMRUDISHA TEAMO TENA let love lead the way...listen to ur heart and that is it!) hapa ADII ametufunza kuna aidha external forces zimetumika kulazimisha...mlingotini? magari ya kuazima?.......anakuja Mj1...post #38 moja kwa moja anatetea ndoa yake bila kujali aliingia na mguu gani ktk hiyo ndoa..ANAMRUDISHA TEAMO..maadam kulikuwa na kutokuusikiliza moyo (penzi la force king)...Teamo anasema unajilisha upepo buree...sijui nimeeleweka au ndo pilau na maharage..mapenzi hutangulia mahusiano ndoa ikiwamo...mapenzi yakikosewa mwanzo mbele ya safari ni maunivu,kubahatisha,huruma nk..